Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe Dada Nimekumiss
Hahahahaaaa, watu mnavituko aiseehBan kawaida tu ila ingekuwa kukosa papuchi hapo pangechimbika aiseee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
@Viatu vya samaki
Siyo kujishaua ni kuringa kabisa.Unajishaua sio?! [emoji23]
Nilipigwa ban isiyo na kikomo nikaja na ID nyingine.
Kuna ban huwa zinatolewa siku za wikiendi hizo huwa ni za muda mfupi ila zile za kuanzia Jumatatu, Jumanne na Jumatano ni kuanzia miezi sita hadi 10.
Mkuu, ni mambo tu ya DuniaMkuu nini kilikusibu
Mkuu namimi hii juzi kati ilinikuta nilimtaja jamaa mwenye ID nyingi humu nikasema hii sio ...?nikajikuta nimechezea wiki 2.
Mbona wanashow na mda/wakati..!!
May beKama unatumia cm naona wanakuambia kosa tuu au labda cm yangu