Shonza: Siwezi kujibizana na Diamond

Sasa yeye kinamuwasha nini Kama wizara ndo imemfungia.
Ndo madhara ya Kupeana kazi kwa kujuana.
Akamfungie na mdogo wake kuolewa na mwanamke mwenzie [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Hatuwezi kukubali wanamuziki waharibu kizazi chetu kwa kutunga miziki isiyo na maadili eti kisa wanamuziki wanatafuta ela ya " pampasi" za watoto wao. Kama unataka biashara ya muziki inoge nchi fuata taratibu zilizopo.
Angekuwa makini hasingetumi mamilioni anayodai kutoa kitu cha hovyo! Hata hivyo walielezwa warekebishe wakagoma...wanalalamika nini sasa.
 
Ushabiki mkuu,kila mtu anamlaumu shonza ila hawaoni makosa ya msanii wao
 
Kauli Hii ya "Afuate taratibu husika"., Huwa inanichukiza sn to be honestly,Na mbaya ZAIDI huwa inatolewa nje ya muDA,km vyombo husika vishaenda nje ya taratibu,hw comes mtendewa ndio afuate taratibu wkt wahusika WAKUU washaharibu taratibu!!?.,

Hili suala nlidhan ktk utawala huu watakua na suluhisho LA KUDUMU,ukizingatia Ni wizara ambayo mabadiliko ya ki uongozi yalifanyika ktk nafasi ya WAZIRI HUSIKA,ila nilichotambua Ni kwamba hata umlete waziri wa masuala ya Sanaa,Michezo na utamaduni wa US/UK atajikuta ANAHARIBU,.

Issue tunakosa MFUMO ULIO THABITI,AMBAO UNATEGEMEA " WAWEKA MIKAKATI MATHUBUTI",.ukishakua na mfumo mbovu lazm utaharb ktk maamuzi,uongozi,Uwajibikaji ht Uwe Na watu wenye weledi kiasi gani.,
 
Diamond angekaa kimya tu, hiyo nyimbo yake ya Haleluya imewasikitisha wakristo wengi sana, ni kwakua tu hawana utaratibu wa kulalama publicly ila umewakwaza watu wengi.

Ni kweli. Iladhalilisha Ukristo.
 
Hahahaha Huyu si Alikuwa amekaa juu ya Bati anaimba CCM oyeee
 
Bila kumtaja Magufuli wewe unakuwa unawashwa washwa

Ni kiongozi wao na bado endelea kuzoea..

Lini unakuja kujaribu kulima huku kijijini... eeeeeh chuma gumu


Kama hutaki nimtaje mwambie aache uraisi. As long as ni raisi nitamtaja kila nikijisikia.

Me nalima mashamba silimi bustani. Uko ulipo kuna mashamba au bustani??
 
This time amekuwa mpole sana tofauti na Siku aliyokuwa anawananga kina Gigy Money.

 
Unafungia nyimbo tanzania alaf inashinda tuzo marekani,haipigwi redioni lakini unaiskia kwenye social media zote na personal gadgets...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…