Shonza: Siwezi kujibizana na Diamond

Shonza: Siwezi kujibizana na Diamond

Diamond angekaa kimya tu, hiyo nyimbo yake ya Haleluya imewasikitisha wakristo wengi sana, ni kwakua tu hawana utaratibu wa kulalama publicly ila umewakwaza watu wengi.
Labda imekusikitisha wewe, mi sijasikitika
 
Huyu waziri nadhani anapaswa kutafakari kabala hajasema kitu. Anaposema waulizwe Basata ina maana yeye hafatilii utendaji wa Basata ambayo ipo chini ya utawala wake? Ina maana hata maamuzi yanatolewa na Basata yeye huwa hajishughulishi kuhoji? Sasa anafanya nini kwenye hiyo wizara kama hata hajui taasisi zilizo chini yake zinafanyaje kazi.
Kwa sababu yupo kwenye JF akitoa majibu mujarabu nipm
 
Diamond angekaa kimya tu, hiyo nyimbo yake ya Haleluya imewasikitisha wakristo wengi sana, ni kwakua tu hawana utaratibu wa kulalama publicly ila umewakwaza watu wengi.
Unamfahamu mlezi wa WCB au unaongeaongea tu? Utahama Dar na ndala tu.
 
Huyu mheshimiwa haiwezi kazi kabisa, aondolewe mara moja kwenye unaibu uwaziri. Hafai hata chembe, she is not likable and definitely not able.
 
Wengi wana bifu na shonza ila nyimbo zilizofungiwa zinastahili kifungo. Shonza anapata umaarufu tu kwa kutajwa tajwa hadi raha
 
Wengi wana bifu na shonza ila nyimbo zilizofungiwa zinastahili kifungo. Shonza anapata umaarufu tu kwa kutajwa tajwa hadi raha

Hakuna mtu ama watu wenye bifu na Shonza. Leo wakenya wanampa Red Carpet Diamond Platinum halafu hapa Naibu Waziri bila kumwita na kumwonya anafungia nyimbo bila sababu, kutengeneza nyimbo moja ni mamilioni ya shilingi hiyo ni hasara ya nani.

Diamond Platinum amealikwa ku perform wakati wa ufunguzi wa World Cup wakati nchini kwake wanafungia nyimbo zake hiyo inaingia akilini, wakati hii ndio fursa ya kumtumia Diamond Platinum kama balozi wa utalii.

Hapa ukichunguza kwa makini kufungia nyimbo kuna specific people walikuwa targeted politically (Roma na Ney Mtego) but Diamond Platinum ametolewa kafara bila Naibu Waziri kujua athari zake.
 
Shonza na magufuli wanasiasa waliokota uongozi tabia zao lazima zifanane.

Shonza anafanya kazi za basata.tcra.za uwaziri.mda si mrefu ataanza kuwa referee

Magufuli Nae igp yeye waziri wa viwanda yeye.msemaji wa serekali yeye.hakimu yeye.waziri mkuu yeye.

Kuokota vyeo ni hatari unakuwa hujajiaandaa.

Bila kumtaja Magufuli huriziki
Ni kiongozi wao na bado endelea kuzoea..
Lini unakuja kujaribu kulima huku kijijini... eeeeeh chuma gumu
 
Wakati fulani uwa nasikitika sana...hivi waziri unakaa kujibizana na wasanii wa bongo fleva...hii ni kazi ya basata, nk. Nadhani kuna shida mahala fulani. Pengine kiatu cha uwaziri kimekuwa kikubwa kwa baadhi ya mawaziri.
 
Wasanii walikuwa mstari wa mbele kuiweka tena CCM madarakani mwaka 2015...

Acha wakione cha mtema kuni...
 
Wengi wana bifu na shonza ila nyimbo zilizofungiwa zinastahili kifungo. Shonza anapata umaarufu tu kwa kutajwa tajwa hadi raha
Kwanini watu wawe na bifu naye?
Hakuna sababu yeyote ya kuufungia wimbo kama "Hallelujah".
 
Hallelujah simply means "praise Jah". Sasa wakristo tukalalamike nn????
What is the meaning of the word hallelujah?

Question: "What is the meaning of the word hallelujah?"

Answer:
The word hallelujah is most familiar in the context of the “Hallelujah Chorus” from Handel’s Messiah. Hallelujah is a Hebrew word meaning “praise ye YAH (Yahweh).” Hallelujah, as a transliteration, appears four times in the NIV and NASB (Revelation 19:1–6)—it takes the form “alleluia” in the King James Version. In modern parlance, both hallelujah and alleluia mean “praise the Lord,” a phrase that appears, in English, over fifty times in the Old Testament and once in the New Testament.

The word hallelujah in Revelation 19 is used in heaven, where a great multitude has gathered before the throne in the immediate presence of God Himself. It is the wedding supper of the Lamb. The enemies of God have been overthrown, and the gospel has triumphed. In a victory celebration, all heaven renders praise, a song of thanksgiving uttered by all holy beings united. Reasons for this glorious outpouring of praise are God’s righteous victory over His enemies (Revelation 19:1–3), His sovereignty (verses 4–6), and His eternal communion with His people (verse 7). The sound of the outpouring of praise and worship is so overwhelming that the apostle John can only describe it as “like a great multitude, like the roar of rushing waters and like loud peals of thunder” (verse 6).

So great is the rejoicing by God’s people at the wedding feast of the Bridegroom (Christ) and the bride (the church) that hallelujah is the only word grand enough to express it. Handel’s version of the great chorus in heaven, as glorious as that music is, is only a feeble foreshadowing of the magnificence that will be expressed by the heavenly chorus as we sing, “Hallelujah, for the Lord God omnipotent reigns!”

What is the meaning of the word ‘hallelujah’?
 
Back
Top Bottom