Short Amoti ameamua kumfuta kabisa mpinzani wake wa urais February. Je ataweza kutawala ?

Gabeji

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
2,174
Reaction score
3,156
The man is very smart, na huyu ndo alikuwa tishio kubwa sana kwa short Amoti, kwa ssb anafiriki kwa kumtoa nje ya ulingo ndo atatawala kumbe amejipalia makaa ya moto usiozimika.

Ladba ampe ubalozi huko nje mbali kabisa. "Ukioikoa nafsi Yako ndo umeiangamiza na ukiangamiza umeikoa".
Mungu ibariki Tanzania.
 
Kumbe wale wazee wa Bumbuli kumkataa Janu ulikuwa mradi wa mtu ule!!! Now ndo napata picha
 
 
CCM mtu ambae amebaki ana ushawishi ni huyo Mwamba jamaa hanaga siasa za Uchawa January akutakiwa kumtupa ivyo
 
Urais wa 2040???

Anayekuja si mtu wa Kitimoto au utamaduni na michezo umepitwa wakati zama hizi?
 
January ana usmart gani we chawa mjinga tu yule aliyebebwabebwa akaota mapembe.

Ukibebwa kuwa mtulivu
January ni bora kuliko vijana wengi chamani sasa kuzidi hata Bashite sema karma mzee wake alifurahia watu kufa ila Kwangu January angalau
 
January ni bora kuliko vijana wengi chamani sasa kuzidi hata Bashite sema karma mzee wake alifurahia watu kufa ila Kwangu January angalau
Kuna Ka ukweli hapa, huko Bukoba Wana msemo huu: "wafu wanazidiana harufu"
 
Kaa kimya hujui chochote.
 
Mzee ana mtandao mkubwa sana hata muuza karanga aweza kunusa mipango yoyote ile, hivyo February aliponuswa basi kwisha kazi, timu task force ikaanza kazi.

Wazee wa Bumbuli hawana shida maana si mbali pale na MSG na Mkata.

Weye andaa mbuzi kadha mwaga pilau ya kutosha na mnazi baasi weye utasikia wakiimba "nkozi ya mpombe tiubade nkandae", hiyo mpaka asubuhi kazi kwisha.

Kilobakia ni kuona huo mtanange wa kuelekea 2030.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…