Short Amoti ameamua kumfuta kabisa mpinzani wake wa urais February. Je ataweza kutawala ?

Short Amoti ameamua kumfuta kabisa mpinzani wake wa urais February. Je ataweza kutawala ?

Zili nafasi kumi anaweza kumrudisha chatini ila uteuzi huo hauna laddha, ladha uwe na jimbo
 
Denial phase. Mtu unakua huamini amini. The unarealize reality is brutal we are just a word or one mistake away to lose what we like the most. Ndio Maisha Mwanasiasa mjanja ni yule anayekubali kushindwa na kutoka nje ya siasa kwa mda kuclear akili. Kuna uwezekano mkubwa kurudi kwenye siasa very strong.
 
January ana usmart gani we chawa mjinga tu yule aliyebebwabebwa akaota mapembe.

Ukibebwa kuwa mtulivu
Inakuwaje mwenye kutaka kutia nia ya urais kutoka ccm dhidi ya rais wa ccm anayetetea kiti chake abezwe na wanaccm kwamba hafai;wakati rais anachaguliwa na watanzania wote?
 
Mzee ana mtandao mkubwa sana hata muuza karanga aweza kunusa mipango yoyote ile, hivyo February aliponuswa basi kwisha kazi, timu task force ikaanza kazi.

Wazee wa Bumbuli hawana shida maana si mbali pale na MSG na Mkata.

Weye andaa mbuzi kadha mwaga pilau ya kutosha na mnazi baasi weye utasikia wakiimba "nkozi ya mpombe tiubade nkandae", hiyo mpaka asubuhi kazi kwisha.

Kilobakia ni kuona huo mtanange wa kuelekea 2030.
Mzee wa chalinze noma sana , is master of politics
 
Inakuwaje mwenye kutaka kutia nia ya urais kutoka ccm dhidi ya rais wa ccm anayetetea kiti chake abezwe na wanaccm kwamba hafai;wakati rais anachaguliwa na watanzania wote?
Nchi ya Tanzania , viongozi wake 90% ni incompetent
 
Ukiona koboko amekula bangi nyakati za asbh na akawa amesinzia sinzia kwa kale kajua ka vitamini d sijui c, basi hakikisha unaondoka kabla ya jua la saa sita mchana, maana hapo ulevi wa koboko unaisha na anarudi kuwa koboko kweli kweli!
 
Koboko huyo
 
The man is very smart, na huyu ndo alikuwa tishio kubwa sana kwa short Amoti, kwa ssb anafiriki kwa kumtoa nje ya ulingo ndo atatawala kumbe amejipalia makaa ya moto usiozimika.

Ladba ampe ubalozi huko nje mbali kabisa. "Ukioikoa nafsi Yako ndo umeiangamiza na ukiangamiza umeikoa".
Mungu ibariki Tanzania.
Short Amoti ndio nani. ?!
 
Back
Top Bottom