Short course gani ilibadili maisha yako?

Short course gani ilibadili maisha yako?

Kumbe kama mi KLF nikiiramba GIS nakuwa nimepoteza muda inakua imekula kwangu mkuu
GIS Ipo kwenye kila field..Assume umegundua mabaki ya Dianasour kwenye pori fulani utahitaji uionyeshe kwenye ramani kwa kutumia mifumo ya kijografia hapo GIS inaingia moja kwa moja.
 
Kwa namna gani mkuu
Kujua formulars na functions muhimu ambazo zinaweza kuwa zinatumika kila siku kama ni sehemu ambayo mtu anafanyia kazi..Angalau uifahamu canvas ya excel..kuelewe kufanya manipulation ndogo ndogo za kujumlisha,kutoa,kugawanya, kutoa.
Na baadhi ya formula muhimu.
 
Back
Top Bottom