Short course gani ilibadili maisha yako?

Short course gani ilibadili maisha yako?

Hongera mkuu maaana tunajifunza, wengine tunawaz bora tusingekula gamba la PETROLEUM CHEMISTRY
Tutayaongea haya limeisha hilo huenda kuna pahala nikiwaomba wakuu unaweza tufaa ,note sina uwezo wa kukusaidia manake mimi ni mtu wa chini sana hapo ila naweza wasahaur wakufikirie usije inbox kila kitu tutabonga hapa hapa
 
Nyingi but recently nime earn PPL naendelea kutafuta Hrs nipate CPL..

huko nyuma course za Cyber hasa Online dose ilinisaidia sana kujitafuta huku na huko....
 
Tutayaongea haya limeisha hilo huenda kuna pahala nikiwaomba wakuu unaweza tufaa ,note sina uwezo wa kukusaidia manake mimi ni mtu wa chini sana hapo ila naweza wasahaur wakufikirie usije inbox kila kitu tutabonga hapa hapa
Nipe chaneli hio mkuu tujenge maisha
 
Nikipata inayohisisha kurepair photocopy machines nitainjoi zaidi. Anayejua wapi inatolewa na muda wake hd kumaliza
 
Naomba kuuliza kuna uwezo wowote wa kubadili leseni ya udereva kutoka D kwenda E kabla ya miaka mitano?
 
Wakuu ivi Short course ya Data analysis SPSS STATA RA inamashiko kweli msaada kwa mjuzi
Kama unadeal na research iwe ni kwa mashirika au unawaandikia tu research raia ambao huko vyuoni inawapa shida wao kuandika basi itakufaa

Ukiwa na gamba tu zuri la social sciences au Health sciences + masters(sio lazima ila muhimu) basi inakufaa hiyo course
 
Dah nina gamba la wildlife mkuu nadhani halinifai mkuu
 
Back
Top Bottom