Short course gani ilibadili maisha yako?

Short course gani ilibadili maisha yako?

Wakuu, habari za muda na wakati huu.

Katika harakati za maisha na kujitafuta unakuta umesoma Elimu nyingine ila mpenyo wako ulipata ulipo amua ku step up nakusoma kishort kozi kikakutoa jalalani.

Nilikua napenda nijui ni short kozi gani ziliwafungulia milango ili na sisi wengine tupate kuokota mawili matatu.
Betting
 
Nilipata nafasi ya kupigwa msasa na Wahindi kwenye Cyber Security! Wakanichaji 560K! Aisee mpaka leo sijutii kusoma hii kitu! Ni moja ya kitu kimebadilisha maisha yangu kwa muda mfupi sana!
Apo tayari ulikua na ujuzi mkuu au ?
 
Kuna hii ishu ya car key programming/locksmith yan kuprogram funguo za magari aisee hii kitu ina pesa hatari japo wanaijua watu wachache sana pia course yake hadi South Africa nawakilisha mweny swali aulize
Dah, Shukrani mkuu kwa madini haya hadimu tunajifunza mengi sana
 
Back
Top Bottom