Short story ya maisha ya jeshini

Short story ya maisha ya jeshini

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Kipindi tupo maservice enzi izo kambi fulani kulikuwa na op ilio tutangulia sasa kulikuwa na kijana mmoja maarufu sana anaitwa ngosha so sisi op mpya tulivyo fika pale kikosini tukamkuta sisi tulikuwa majuorner yaan wadogo wale ndio sinior

Alikuwa anaishi kama afande yaani p staf hukuti anachangamana na maservice wenzie hata kidogo yeye marafiki zake ni p staff na alikuwa nawachoma wenzie

Ilikuwa akikukuta wewe journer unakosa anakupiga doso wakati anakupiga doso anakwbia una mugemea nan hapa kikosini unajua mm kwetu ni majeshi nina ndugu breged nina ndugu kanal uyo ndio mwenye cheo kidogo hadi meja general sisi kwetu wapo

Maisha yakawa ivyo kwa huyo kijana wakati jwtz imekuja fanya usahili kwa vijana yeye alikuwa ni mtu wakujitapa tu bog haliniachi mwisho wa siku bog limekuja kusomwa hayupo yaani hakutajwa kabisa baada ya hapo maisha yake yalikuwa ni ya kuchekwa na kutolewa mfano tu

Kuna la kujifunza hapoa
 
Wewe uko wapi sasa ulichukuliwa au unalinda milango ya mabasi za muendo kasi?
 
Short story nimesoma na kuimaliza nikiwa na dicloper hapa. Na hapa "majuorner yaan wadogo wale ndio sinior" ndio pameniongezea Maumivu. Well Short Story nzuri Kuna lakujifunza kama ulivyosema.[emoji26]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila Mwachii punguzaa kimuhe muhe, unaelekea kuharibu sasa.
Ona unavyojichoreshaaa hapaaa, em tulizanaa bhanaa.
Ntakuporaa cm hiyoo, mxxxxxiiiiiieeeeeew. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom