Shosti Mwanaume ana 'manii' nyingi yuleeeee! Muone vilevile tu!

Shosti Mwanaume ana 'manii' nyingi yuleeeee! Muone vilevile tu!

ndyoko

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
4,971
Reaction score
1,652
Hii maneno nimeisikia nusu saa ilopita toka kwa mashostito watano walokuwa wanapiga domo muda huu wa kazi. Unajua tena hizi ofisi siku hizi zinatenganishwa kwa soft wood sio kama enzi zile za ukuta wa tofali za njanja. Bila kujua nipo kwa ofisi huku wamenogewa na girly story zao, wakaishia kuongelea wanaume vipanga waliopo kwa ofisi zetu. Nilifurahishwa na walivyokuwa wakimchambua jamaa yetu mmoja ambaye upole wake mepelekea 'kuwadungua' wadada wengi hapa ofisini. Aisee kumbe wanawake wanavutiwa sana na njemba walio wapole.

Baada ya kumsema sana kuhusu huo u-lava boyi wake na kugundua kuwa wanne kati yao wameshapitiwa na mshikaji, yule ambaye alikuwa hajapitiwa akawaambie wenzake 'eti Amida kaniambia kuwa jamaa ana mbegu nyingi kweli', hivi ni kweli? Mwingine akadakia, "Shosti Mwanaume ana 'manii' (hapa alitumia lile neno lenyewe haswa) nyingi yuleeeee! Muone vilevile tu!", akaendelea zaidi-yaani sina hamu mtu unashinda siku nzima zinakuchuruzika mapajani utadhani uko kwenye siku zako; hafai kabisa mwanaume yule na mkewe kazi anayo na sikushauri shosti utoke naye utaishia kushinda na shombo la sh****a siku nzima, shida gani!

Nikajidai kama nafungua mlango kuingia ofisini baada ya kuona upuuzi wao umezidi ndipo waliponong'onezana wakidai waache hizo stori eti ntawasikia bila kujua kuwa nilishawasikia from A to Z.

My take: Jamani kina dada muwe mnatuhifadhi walau kidogo hasa kwenye mambo ya 6x6 please, msitudhalilishe kiasi hiki.
 
..Keshatembea na wanawake wanne ofisi moja?!!!, Duuuh
 
Hawakumbuki dawa penzi (kondom ) kabisa , sasa si mtaangamia ofisi nzima ?

red and bolded: Bado najiuliza ni wapi akili yako ilipoenda mchomo ikashindwa ku-connect mambo.
 
red and bolded: Bado najiuliza ni wapi akili yako ilipoenda mchomo ikashindwa ku-connect mambo.

kwi kwi kwi ..... Tukumbuke majembe tukienda shambani wazee. Huyo msela kagonga 4 tena stirio kabisa . Je kama ana moto ? Si ofisi nzima ipo hatarini ?
 
Oh boy..... The didn't use condom
 
kwi kwi kwi ..... Tukumbuke majembe tukienda shambani wazee. Huyo msela kagonga 4 tena stirio kabisa . Je kama ana moto ? Si ofisi nzima ipo hatarini ?

Hii dunia inaelekea kubaya kabisa! Just a single strike will be enough to take away the life of a person who tries it for the first time!
 
namshukuru mungu sina apetite kabisa na wanaume wa kazini.mimi nikiingia getini ni kazi tu.niko alergic kabisa tena mtu akinisalimia mara mbilimbili huwa namjengea chuki kabisa moyoni. nachukia kabisa kabisa. mapenzi si yapo bwana huko nje? sasa ona wanawake kumi kwa mwanaume mmoja tena peku jamani .na huo ukimwi ? loh
 
Hii dunia inaelekea kubaya kabisa! Just a single strike will be enough to take away the life of a person who tries it for the first time!

wacha tu mkuu hii balaa eti . Ukifatilia zaidi unaweza usifike mwisho.
 
hivi kuna watu wanaodhalilishwa humu duniani kama wanawake....?
kwa hesabu ya harakaharaka......pitia MMU uone ni thread ngapi zinatuhusu......

Mtenda akitendewa hujihisi kaonewa.
 
namshukuru mungu sina apetite kabisa na wanaume wa kazini.mimi nikiingia getini ni kazi tu.niko alergic kabisa tena mtu akinisalimia mara mbilimbili huwa namjengea chuki kabisa moyoni. nachukia kabisa kabisa. mapenzi si yapo bwana huko nje? sasa ona wanawake kumi kwa mwanaume mmoja tena peku jamani .na huo ukimwi ? loh

aisee yaani kusalimiwa tu unapandisha munkari? usiniambie hisia zako ziko karibu hivyo kuepuka shari ume-develop hiyo defensive mechanism aisee
 
aisee yaani kusalimiwa tu unapandisha munkari? usiniambie hisia zako ziko karibu hivyo kuepuka shari ume-develop hiyo defensive mechanism aisee
pelekeni kwa wake zenu huko
 
Kweli simba mwenda pole....kama hao wadada wanatembea na wanaume wengine in the same ofice, hiyo chain itakuwa balaa Mr AIDS akipita. Du kumbe watu bado elimu ya condom imepita mbali!
 
Back
Top Bottom