Should a mother be judged for sacrificing love to secure her family's future?

Logikos

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
17,572
Reaction score
27,416
Putting it mildly....
  • Is it selfish for a mother to prioritize financial security over romantic love? or is it heroic and self sacrifice for the benefit of her kids
"Materialist or Martyr? A Mother's Sacrifice."
Je asifiwe kwa kujinyima furaha ya roho yake, hata kwenda kwa mtu asiyempenda au kupendezwa nae kama it means security ya watoto hata watakaokuja, au avumilie na kufurahia furaha ya moyo huku akijua kina Junior watateseka na Ulimwengu wa dhiki ? i.e Is Choosing Family Security Over Love: A Noble Sacrifice?;

The Mother's Choice: Security for Her Children vs. Her Own Happiness.
Je sisi kama watazamaji tuna haki ya ku-judge bila kuvaa viatu vyake ?

1761469615471.png
​
 
Furaha ya watoto wangu ni furaha yangu.
Naweza kuvumilia mengi sana,ila uvumilivu wa kuona wanangu wanateseka na kutaabika wakati uwezo wa kuwaondolea hayo mateso ninao sijajaliwa kwakweli.
So it’s safe to say I will sacrifice my happiness bila hata kujifikiria mara mbili for my kids wellbeing and happiness.
 
Naamanisha hivi kama una mpenzi wako unayempenda kweli kweli wa kufa na kuzikana; ila ukipiga rada unaona hapa Bima ya Afya haitapatikana wala shule (elimu ya juu) itakuwa ngumu kuwalipia watoto sasa kuna choice imekuja inakupenda wewe huipendi unaamua kwenda huko na kuacha huku kwa unayempenda...; Je tuna haki ya kukuita materialistic au tukupongeze kwa kuacha furaha ya moyo wako kwa kuwekeza kwa watoto wako (future family) ?

Na hii point nimeweka hapa kwa watu wengi kuwaona wanawake wa hivi kwamba wapo kwa fulani kwa ajili ya pesa zake bila kuangalia perception yake kama mzazi kwamba ina-guarantee security ya watoto wake (hata kama sio chaguo la roho yake); hivyo huyu ni Angel na sio Shetani....
 
Kitu kimoja hamkijui wanawake wana machale kama sio maono, kuna yule mtu hana kitu saivi lakini ukimtazama unaona kabisaa huyu atatoboa hapo kwa mwanamke mwenyw akili atavumilia
Halafu kuna wale we mwenyewe tu unajua hapa nimelamba garasa ukibaki hapo ww ni kalungu yeye.
 
Usichojua hapa chini ya jua hutakiwi kumkatia tamaa mtu anayeitwa mwanaume hata awe kachoka vp kapuku lolote linaweza tokea uvumilivu ndo unawashindaga unavumilia miezi miwili unachoka unaondoka mwezi wa tatu mtu anatoboa
 
By the way Security sio pesa tu unaweza ukawa na mtu mwenye nazo ila asiyejali familia na mwingine vice versa na financial stability sio mpaka muwe matajiri bali watoto kuweza kupata chakula malazi na mavazi (elimu na afya). Pia nadhani hii Serikali / Dunia ya sasa ambayo hata Elimu imekuwa ya wenye pesa na sio wenye akili tutegemee wanawake wengi zaidi kufanya sacrifice / uamuzi kwa kutumia akili pia na sio hisia pekee
 
Siwez kumvumilia mtu asieonyesha juhudi za kujikwamua aisee… siko tayari kuja kutesa watoto wangu kwa kuwachagulia baba mvivu anaesubiria tu muujiza nevaaaa!
 
Nadhani kuondoka katikati ya mapambano (mmeshaanza maisha) huo ni usaliti sababu ni kwamba mwanzoni uliona muelekeo mzuri unless jamaa amebadilika sio kama mwanzo (tabia) ila tofauti na hapo ni kuacha mbachao kwa msala upitao....

Ila kama mnapasha tu maisha na kufurahia ujana na sio kupanga kujenga maisha pamoja kama partners; huwezi kulaumu sana kama akiamua kutafuta nguzo imara zaidi kwa ajili ya familia ingawa moyo wake upo kwako. Swali ni je hapo tumlaumu au tumuelewe kwa kufanya sacrifice for the better good ?
 
Je ni kweli umasikini / masikini ni Wavivu ?

Kitu kimoja hamkijui wanawake wana machale kama sio maono, kuna yule mtu hana kitu saivi lakini ukimtazama unaona kabisaa huyu atatoboa hapo kwa mwanamke mwenyw akili atavumilia
Halafu kuna wale we mwenyewe tu unajua hapa nimelamba garasa ukibaki hapo ww ni kalungu yeye.
Usichojua hapa chini ya jua hutakiwi kumkatia tamaa mtu anayeitwa mwanaume hata awe kachoka vp kapuku lolote linaweza tokea uvumilivu ndo unawashindaga unavumilia miezi miwili unachoka unaondoka mwezi wa tatu mtu anatoboasit
Nadhani kuondoka katikati ya mapambano (mmeshaanza maisha) huo ni usaliti sababu ni kwamba mwanzoni uliona muelekeo mzuri unless jamaa amebadilika sio kama mwanzo (tabia) ila tofauti na hapo ni kuacha mbachao kwa msala upitao....

Ila kama mnapasha tu maisha na kufurahia ujana na sio kupanga kujenga maisha pamoja kama partners; huwezi kulaumu sana kama akiamua kutafuta nguzo imara zaidi kwa ajili ya familia ingawa moyo wake upo kwako. Swali ni je hapo tumlaumu au tumuelewe kwa kufanya sacrifice for the better good ?
Siyo uchumba unakuta ndoa kabisa na watoto wamepata mtu kaanguka kiuchumi anakimbia
 
By the way Security sio pesa tu unaweza ukawa na mtu mwenye nazo ila asiyejali familia na mwingine vice versa na financial stability sio mpaka muwe matajiri bali watoto kuweza kupata chakula malazi na mavazi (elimu na afya). Pia nadhani hii Serikali / Dunia ya sasa ambayo hata Elimu imekuwa ya wenye pesa na sio wenye akili tutegemee wanawake wengi zaidi kufanya sacrifice / uamuzi kwa kutumia akili pia na sio hisia pekee
Nadhani hatuelewani hata mimi wakati naolewa nlikua na option ya kuolewa na wadosi ila sikufanya hivo nlifata nimpendae ila nliona ni mpambanaji mwenye malengo yake.
Je ni kweli umasikini / masikini ni Wavivu ?

mtu hana kazi,biashara wala urithi anaoutegemea. Analala hadi saa sita akiamka anaenda kukaa maskani anasubiri mama ake auze miogo wale ugali na tembele atafute ndugu mwenye unafuu ampige kibomu.
Hajiongezi hata kuuza maji ya kandoro hapo kwa mama ake anapouzia miogo.sasa huyu ni masikini au mvivu wa kujishughulisha??? Halafu ndo nimvumilie 😲
 
Naamanisha hivi kama una mpenzi wako unayempenda kweli kweli wa kufa na kuzikana; ila ukipiga rada unaona hapa Bima ya Afya haitapatikana wala shule (elimu ya juu) itakuwa ngumu kuwalipia watoto sasa kuna choice imekuja inakupenda wewe huipendi unaamua kwenda huko na kuacha huku kwa unayempenda...; Je tuna haki ya kukuita materialistic au tukupongeze kwa kuacha furaha ya moyo wako kwa kuwekeza kwa watoto wako (future family) ?

Na hii point nimeweka hapa kwa watu wengi kuwaona wanawake wa hivi kwamba wapo kwa fulani kwa ajili ya pesa zake bila kuangalia perception yake kama mzazi kwamba ina-guarantee security ya watoto wake (hata kama sio chaguo la roho yake); hivyo huyu ni Angel na sio Shetani....
A person who is enslaved by properties can't be trusted for anything.
 
Kuna tofauti kati ya properties na necessities na kwa dunia ya yeo hata Elimu na Afya ambazo ni necessities zimekuwa luxuries ambazo sio kila mtu ana uwezo wa kuzipata...

Kwa muktadha huo tambua katika choices za mchaguaji lazima ata-consider hayo kwa maisha yenu ya baadae (upatikanaji wa hizo necessities ambazo sio necessarily mere properties)
 
Siyo uchumba unakuta ndoa kabisa na watoto wamepata mtu kaanguka kiuchumi anakimbia
Siongelei hao sababu wa hivi huenda atakuwa anakimbia maisha yake yote na kuna risk ya huko anapokwenda asiwe valued wala kusiwe na stability kwa watoto (Siongelei wanaoacha mbachao kwa Msala Upitao) bali wanaojinyima furaha kwa furaha ya wengine (watoto);
 
mtu hana kazi,biashara wala urithi anaoutegemea. Analala hadi saa sita akiamka anaenda kukaa maskani anasubiri mama ake auze miogo wale ugali na tembele atafute ndugu mwenye unafuu ampige kibomu.
Hajiongezi hata kuuza maji ya kandoro hapo kwa mama ake anapouzia miogo.sasa huyu ni masikini au mvivu wa kujishughulisha??? Halafu ndo nimvumilie 😲
Sasa huyu wa hivi nadhani utakuwa na busara kutokujenga nae maisha, lakini what if hali hii ikitokea njiani wakati mshaanza safari kwa jambo moja au jingine kutokea; Utamtosa au atakuwa wako (Mzigo wako kuubeba) na kama uwezo unao sioni ubaya wa kuubeba....

Lakini kama uligundua yupo hivyo kabla ya safari (before making a lifetime choice) sidhani kama Jamii itakuwa inakutendea wema kukulaumu. By the way mtu anaweza akawa anapiga kazi kwelikweli lakini wapi (sio kweli kwamba hard work always pays, hususan dunia ya leo)
 
Exactly my point hata ama hauna pambana the rest muachie Mungu.
 
Back
Top Bottom