Naamanisha hivi kama una mpenzi wako unayempenda kweli kweli wa kufa na kuzikana; ila ukipiga rada unaona hapa Bima ya Afya haitapatikana wala shule (elimu ya juu) itakuwa ngumu kuwalipia watoto sasa kuna choice imekuja inakupenda wewe huipendi unaamua kwenda huko na kuacha huku kwa unayempenda...; Je tuna haki ya kukuita materialistic au tukupongeze kwa kuacha furaha ya moyo wako kwa kuwekeza kwa watoto wako (future family) ?Furaha ya watoto wangu ni furaha yangu.
Naweza kuvumilia mengi sana,ila uvumilivu wa kuona wanangu wanateseka na kutaabika wakati uwezo wa kuwaondolea hayo mateso ninao sijajaliwa kwakweli.
So it’s safe to say I will sacrifice my happiness bila hata kujifikiria mara mbili for my kids wellbeing and happiness.
Kitu kimoja hamkijui wanawake wana machale kama sio maono, kuna yule mtu hana kitu saivi lakini ukimtazama unaona kabisaa huyu atatoboa hapo kwa mwanamke mwenyw akili atavumiliaNaamanisha hivi kama una mpenzi wako unayempenda kweli kweli wa kufa na kuzikana; ila ukipiga rada unaona hapa Bima ya Afya haitapatikana wala shule (elimu ya juu) itakuwa ngumu kuwalipia watoto sasa kuna choice imekuja inakupenda wewe huipendi unaamua kwenda huko na kuacha huku kwa unayempenda...; Je tuna haki ya kukuita materialistic au tukupongeze kwa kuacha furaha ya moyo wako kwa kuwekeza kwa watoto wako (future family) ?
Na hii point nimeweka hapa kwa watu wengi kuwaona wanawake wa hivi kwamba wapo kwa fulani kwa ajili ya pesa zake bila kuangalia perception yake kama mzazi kwamba ina-guarantee security ya watoto wake (hata kama sio chaguo la roho yake); hivyo huyu ni Angel na sio Shetani....
Usichojua hapa chini ya jua hutakiwi kumkatia tamaa mtu anayeitwa mwanaume hata awe kachoka vp kapuku lolote linaweza tokea uvumilivu ndo unawashindaga unavumilia miezi miwili unachoka unaondoka mwezi wa tatu mtu anatoboaKitu kimoja hamkijui wanawake wana machale kama sio maono, kuna yule mtu hana kitu saivi lakini ukimtazama unaona kabisaa huyu atatoboa hapo kwa mwanamke mwenyw akili atavumilia
Halafu kuna wale we mwenyewe tu unajua hapa nimelamba garasa ukibaki hapo ww ni kalungu yeye.
By the way Security sio pesa tu unaweza ukawa na mtu mwenye nazo ila asiyejali familia na mwingine vice versa na financial stability sio mpaka muwe matajiri bali watoto kuweza kupata chakula malazi na mavazi (elimu na afya). Pia nadhani hii Serikali / Dunia ya sasa ambayo hata Elimu imekuwa ya wenye pesa na sio wenye akili tutegemee wanawake wengi zaidi kufanya sacrifice / uamuzi kwa kutumia akili pia na sio hisia pekeeKitu kimoja hamkijui wanawake wana machale kama sio maono, kuna yule mtu hana kitu saivi lakini ukimtazama unaona kabisaa huyu atatoboa hapo kwa mwanamke mwenyw akili atavumilia
Halafu kuna wale we mwenyewe tu unajua hapa nimelamba garasa ukibaki hapo ww ni kalungu yeye.
Siwez kumvumilia mtu asieonyesha juhudi za kujikwamua aisee… siko tayari kuja kutesa watoto wangu kwa kuwachagulia baba mvivu anaesubiria tu muujiza nevaaaa!Usichojua hapa chini ya jua hutakiwi kumkatia tamaa mtu anayeitwa mwanaume hata awe kachoka vp kapuku lolote linaweza tokea uvumilivu ndo unawashindaga unavumilia miezi miwili unachoka unaondoka mwezi wa tatu mtu anatoboa
Nadhani kuondoka katikati ya mapambano (mmeshaanza maisha) huo ni usaliti sababu ni kwamba mwanzoni uliona muelekeo mzuri unless jamaa amebadilika sio kama mwanzo (tabia) ila tofauti na hapo ni kuacha mbachao kwa msala upitao....Usichojua hapa chini ya jua hutakiwi kumkatia tamaa mtu anayeitwa mwanaume hata awe kachoka vp kapuku lolote linaweza tokea uvumilivu ndo unawashindaga unavumilia miezi miwili unachoka unaondoka mwezi wa tatu mtu anatoboa
Je ni kweli umasikini / masikini ni Wavivu ?Siwez kumvumilia mtu asieonyesha juhudi za kujikwamua aisee… siko tayari kuja kutesa watoto wangu kwa kuwachagulia baba mvivu anaesubiria tu muujiza nevaaaa!
Usichojua hapa chini ya jua hutakiwi kumkatia tamaa mtu anayeitwa mwanaume hata awe kachoka vp kapuku lolote linaweza tokea uvumilivu ndo unawashindaga unavumilia miezi miwili unachoka unaondoka mwezi wa tatu mtu anatoboasitKitu kimoja hamkijui wanawake wana machale kama sio maono, kuna yule mtu hana kitu saivi lakini ukimtazama unaona kabisaa huyu atatoboa hapo kwa mwanamke mwenyw akili atavumilia
Halafu kuna wale we mwenyewe tu unajua hapa nimelamba garasa ukibaki hapo ww ni kalungu yeye.
Siyo uchumba unakuta ndoa kabisa na watoto wamepata mtu kaanguka kiuchumi anakimbiaNadhani kuondoka katikati ya mapambano (mmeshaanza maisha) huo ni usaliti sababu ni kwamba mwanzoni uliona muelekeo mzuri unless jamaa amebadilika sio kama mwanzo (tabia) ila tofauti na hapo ni kuacha mbachao kwa msala upitao....
Ila kama mnapasha tu maisha na kufurahia ujana na sio kupanga kujenga maisha pamoja kama partners; huwezi kulaumu sana kama akiamua kutafuta nguzo imara zaidi kwa ajili ya familia ingawa moyo wake upo kwako. Swali ni je hapo tumlaumu au tumuelewe kwa kufanya sacrifice for the better good ?
Nadhani hatuelewani hata mimi wakati naolewa nlikua na option ya kuolewa na wadosi ila sikufanya hivo nlifata nimpendae ila nliona ni mpambanaji mwenye malengo yake.By the way Security sio pesa tu unaweza ukawa na mtu mwenye nazo ila asiyejali familia na mwingine vice versa na financial stability sio mpaka muwe matajiri bali watoto kuweza kupata chakula malazi na mavazi (elimu na afya). Pia nadhani hii Serikali / Dunia ya sasa ambayo hata Elimu imekuwa ya wenye pesa na sio wenye akili tutegemee wanawake wengi zaidi kufanya sacrifice / uamuzi kwa kutumia akili pia na sio hisia pekee
mtu hana kazi,biashara wala urithi anaoutegemea. Analala hadi saa sita akiamka anaenda kukaa maskani anasubiri mama ake auze miogo wale ugali na tembele atafute ndugu mwenye unafuu ampige kibomu.Je ni kweli umasikini / masikini ni Wavivu ?
Kuna baadhi yetu tumekuwa tukihusisha watu masikini kwamba ni wavivu, huenda hii ilikuwa kweli zama za kale za kuhitaji nguvu na jitahada za kulima ili upate mkate wako wa kila siku (sababu hata uwindaji huenda ulihitaji ujuzi zaidi kuliko uchapakazi); Pia huenda kipindi hicho mtu alikuwa na watoto wengi sana na kuwafanya vijakazi wake au hata watumwa wa kumfanyia kazi (Tujiulize hapo mvivu alikuwa nani)?
Na Mfalme Je, alikuwa mwerevu, mvivu au utajiri wake ulitokana na faida ya kuzaliwa na wazazi fulani? Je angezaliwa na wazazi masikini asingekuwa mchapakazi au huenda angefanikiwa zaidi...
- Logikos
- uhusiano umasikini utajiri uvivu
- Replies: 15
- Forum: Jamii Intelligence
A person who is enslaved by properties can't be trusted for anything.Naamanisha hivi kama una mpenzi wako unayempenda kweli kweli wa kufa na kuzikana; ila ukipiga rada unaona hapa Bima ya Afya haitapatikana wala shule (elimu ya juu) itakuwa ngumu kuwalipia watoto sasa kuna choice imekuja inakupenda wewe huipendi unaamua kwenda huko na kuacha huku kwa unayempenda...; Je tuna haki ya kukuita materialistic au tukupongeze kwa kuacha furaha ya moyo wako kwa kuwekeza kwa watoto wako (future family) ?
Na hii point nimeweka hapa kwa watu wengi kuwaona wanawake wa hivi kwamba wapo kwa fulani kwa ajili ya pesa zake bila kuangalia perception yake kama mzazi kwamba ina-guarantee security ya watoto wake (hata kama sio chaguo la roho yake); hivyo huyu ni Angel na sio Shetani....
Kuna tofauti kati ya properties na necessities na kwa dunia ya yeo hata Elimu na Afya ambazo ni necessities zimekuwa luxuries ambazo sio kila mtu ana uwezo wa kuzipata...A person who is enslaved by properties can't be trusted for anything.
Siongelei hao sababu wa hivi huenda atakuwa anakimbia maisha yake yote na kuna risk ya huko anapokwenda asiwe valued wala kusiwe na stability kwa watoto (Siongelei wanaoacha mbachao kwa Msala Upitao) bali wanaojinyima furaha kwa furaha ya wengine (watoto);Siyo uchumba unakuta ndoa kabisa na watoto wamepata mtu kaanguka kiuchumi anakimbia
Sasa huyu wa hivi nadhani utakuwa na busara kutokujenga nae maisha, lakini what if hali hii ikitokea njiani wakati mshaanza safari kwa jambo moja au jingine kutokea; Utamtosa au atakuwa wako (Mzigo wako kuubeba) na kama uwezo unao sioni ubaya wa kuubeba....mtu hana kazi,biashara wala urithi anaoutegemea. Analala hadi saa sita akiamka anaenda kukaa maskani anasubiri mama ake auze miogo wale ugali na tembele atafute ndugu mwenye unafuu ampige kibomu.
Hajiongezi hata kuuza maji ya kandoro hapo kwa mama ake anapouzia miogo.sasa huyu ni masikini au mvivu wa kujishughulisha??? Halafu ndo nimvumilie 😲
Exactly my point hata ama hauna pambana the rest muachie Mungu.Sasa huyu wa hivi nadhani utakuwa na busara kutokujenga nae maisha, lakini what if hali hii ikitokea njiani wakati mshaanza safari kwa jambo moja au jingine kutokea; Utamtosa au atakuwa wako (Mzigo wako kuubeba) na kama uwezo unao sioni ubaya wa kuubeba....
Lakini kama uligundua yupo hivyo kabla ya safari (before making a lifetime choice) sidhani kama Jamii itakuwa inakutendea wema kukulaumu. By the way mtu anaweza akawa anapiga kazi kwelikweli lakini wapi (sio kweli kwamba hard work always pays, hususan dunia ya leo)