PRECIOUSDOE
Senior Member
- Feb 3, 2009
- 114
- 12
- Thread starter
-
- #41
hihihihihihi......hebu geuza upande wa pili je kama huyo kaka alikuwa ndio anaoa na dada akakufa halafu wewe ndio rafiki wa kaka......ungeenda harusini?
Nimerudia kusoma mara mbili lakini bado haijanikaa au sijui kidhungu???
kwanza hapo basi ndipo singeenda hata bila ya kufikiria,lakini wanawake hujali sana usipotokea kwenye harusi yao.wanaume naona hawajali sana.
Da!! imeniuma utadhani mimi ndy niliyeumizwa, Huyo msichana ana roho ya chuma, lakin ukatili huu TUNAFUNDISHWA NA WANAUME, WANAUME WANATUUMIZA SN SN KIASI AMBACHO SOMTMS WANAWAKE NAO WANAKUWA KATILI ZAIDI YAO...KWENDA AU KUTOKWENDA HAYO NA MAAMUZI FUATA NDANI YA MOYO WAKO UNAONGOZWA NA NINI???......JAMAN HEBU TUACHA KUDANGANYANA, HAYA NDIYO MADHARA YA UONGO....WANAUME CHONDE CHONDE ACHENI UONGO,,MWANAMKE NI KATILI SANA PINDI ANAPOAMUA KUFANYA UKATILI ILA HURUMU WALIYOPEWA NA MUNGU NDIYO WAKATI MWINGINE INAWAZUIA WASIFANYE UKATILI.....IMENIUMA SN SN,,,SIJUI KWA NINI MAPENZI YAPO NA HAYAKWEPEKI???...NATAMANI NIPATE DAWA YA KUTOKUPENDA....JE IPO??
kafa kijana....aliyekuwa anadhani ni yeye ndo anapendwa..kuja kustuka dada anaolewa na mtu mwingine kabisa......akapata kitu kinaitwa eutanesia death ( kifo cha huruma).....huyu mleta mada alikuwa anaishi na huyo dada na alikuwa hajmwambia kuwa ana mtu mwingine ambaye wamepanga kufunga ndo yeye alikuwa anamjua marehemu huyu...sasa hapa anauliza aende harusini maana kadi kaletewa....
umeelewa sasa si ndiyo?....
the guy everyone thought was her boyfriend ndiye aliye fariki mwezi mmoja after kujua his galfriend of 7 years is getting married
Da!! Dada wewe ni mbaguzi wa kijinsia kiasi cha kuamini kuwa mwanamke hawezi kuwa mwovu kama mwanadamu mwingine yeyote?! umeongea as if wanawake wote ni saints, hata wanapofanya makosa siyo wao ni wanaume!!Da!! imeniuma utadhani mimi ndy niliyeumizwa, Huyo msichana ana roho ya chuma, lakin ukatili huu TUNAFUNDISHWA NA WANAUME, WANAUME WANATUUMIZA SN SN KIASI AMBACHO SOMTMS WANAWAKE NAO WANAKUWA KATILI ZAIDI YAO...KWENDA AU KUTOKWENDA HAYO NA MAAMUZI FUATA NDANI YA MOYO WAKO UNAONGOZWA NA NINI???......JAMAN HEBU TUACHA KUDANGANYANA, HAYA NDIYO MADHARA YA UONGO....WANAUME CHONDE CHONDE ACHENI UONGO,,MWANAMKE NI KATILI SANA PINDI ANAPOAMUA KUFANYA UKATILI ILA HURUMU WALIYOPEWA NA MUNGU NDIYO WAKATI MWINGINE INAWAZUIA WASIFANYE UKATILI.....IMENIUMA SN SN,,,SIJUI KWA NINI MAPENZI YAPO NA HAYAKWEPEKI???...NATAMANI NIPATE DAWA YA KUTOKUPENDA....JE IPO??
kweli dada Preciousdoe....nilikuwa nina hamu sana ya kuchangia lakini sijaelewa......ni nani amekufa sasa?
Nimerudia kusoma mara mbili lakini bado haijanikaa au sijui kidhungu???