Should i attend this wedding

Should i attend this wedding

hihihihihihi......hebu geuza upande wa pili je kama huyo kaka alikuwa ndio anaoa na dada akakufa halafu wewe ndio rafiki wa kaka......ungeenda harusini?

kwanza hapo basi ndipo singeenda hata bila ya kufikiria,lakini wanawake hujali sana usipotokea kwenye harusi yao.wanaume naona hawajali sana.
 
Tulia zako Huyu dada nashindwa hata kumuelezea .. dah kuna watu wana roho ngumu kama paka
 
Kua na mtu karibu haimaanishi ndo mpo wapenzi. sasa huyu kaka kama hakuvunja ukimya akawa anasubiri huruma ya huyo dada nani tumlaumu? We jiendee tu kwenye harusi kula kuku maana hakuna hata siku moja huyo rafiki yako alikutambulisha kua huyu ndo mwenza we umehisi kutokana na ukaribu wao!
 
wewe ni mtu mzima.kama harusi hujachangia na haukuombwa mchango,waweza kukitumia kama kigezo cha kutoenda na akikuuliza umwambie ulikuwa unajiskia vibaya kwenda kwenye harusi ambayo hukuchangia.Kama umechangia hiyo harusi na kadi umeletewa ina maana umebariki tendo hilo na inabidi uende.
 
Da!! imeniuma utadhani mimi ndy niliyeumizwa, Huyo msichana ana roho ya chuma, lakin ukatili huu TUNAFUNDISHWA NA WANAUME, WANAUME WANATUUMIZA SN SN KIASI AMBACHO SOMTMS WANAWAKE NAO WANAKUWA KATILI ZAIDI YAO...KWENDA AU KUTOKWENDA HAYO NA MAAMUZI FUATA NDANI YA MOYO WAKO UNAONGOZWA NA NINI???......JAMAN HEBU TUACHA KUDANGANYANA, HAYA NDIYO MADHARA YA UONGO....WANAUME CHONDE CHONDE ACHENI UONGO,,MWANAMKE NI KATILI SANA PINDI ANAPOAMUA KUFANYA UKATILI ILA HURUMU WALIYOPEWA NA MUNGU NDIYO WAKATI MWINGINE INAWAZUIA WASIFANYE UKATILI.....IMENIUMA SN SN,,,SIJUI KWA NINI MAPENZI YAPO NA HAYAKWEPEKI???...NATAMANI NIPATE DAWA YA KUTOKUPENDA....JE IPO??
 
Ungeandika kiswahili peke yake sisi tunaoelewa kiingereza kwa shida tungekushauri zaidi... Hata hivyo na wanajua kiingereza pia wangekuelewa zaidi.....kuliko maana maelezo yako yamenichanganya kidogo. Lakini kwa jinsi nilivyokuelewa...nisingeshauri uende kwenye harusi ya hiyo.... Harusi inapendeza ikiwa na furaha si majonzi.
 
kwanza hapo basi ndipo singeenda hata bila ya kufikiria,lakini wanawake hujali sana usipotokea kwenye harusi yao.wanaume naona hawajali sana.

dont ever fake it! onyesha hisia zako na kujali kwako ... if u cared then, also do care now ... do it for the deceased for God's sake!! May his soul RIP!
 
Da!! imeniuma utadhani mimi ndy niliyeumizwa, Huyo msichana ana roho ya chuma, lakin ukatili huu TUNAFUNDISHWA NA WANAUME, WANAUME WANATUUMIZA SN SN KIASI AMBACHO SOMTMS WANAWAKE NAO WANAKUWA KATILI ZAIDI YAO...KWENDA AU KUTOKWENDA HAYO NA MAAMUZI FUATA NDANI YA MOYO WAKO UNAONGOZWA NA NINI???......JAMAN HEBU TUACHA KUDANGANYANA, HAYA NDIYO MADHARA YA UONGO....WANAUME CHONDE CHONDE ACHENI UONGO,,MWANAMKE NI KATILI SANA PINDI ANAPOAMUA KUFANYA UKATILI ILA HURUMU WALIYOPEWA NA MUNGU NDIYO WAKATI MWINGINE INAWAZUIA WASIFANYE UKATILI.....IMENIUMA SN SN,,,SIJUI KWA NINI MAPENZI YAPO NA HAYAKWEPEKI???...NATAMANI NIPATE DAWA YA KUTOKUPENDA....JE IPO??

you are damn right!!
 
dah..thanks. wengi walikuwa hawajaelewa mada maana mtoa mada amekiandika kama riwaya

kafa kijana....aliyekuwa anadhani ni yeye ndo anapendwa..kuja kustuka dada anaolewa na mtu mwingine kabisa......akapata kitu kinaitwa eutanesia death ( kifo cha huruma).....huyu mleta mada alikuwa anaishi na huyo dada na alikuwa hajmwambia kuwa ana mtu mwingine ambaye wamepanga kufunga ndo yeye alikuwa anamjua marehemu huyu...sasa hapa anauliza aende harusini maana kadi kaletewa....
umeelewa sasa si ndiyo?....
 
kama ulikuwa unamjua marehemu vizuri na ulitambulishwa kama mchumba/mume mtarajiwa una haki ya kutokwenda, kama hakukutambulisha basi waweza kwenda kwa kuchukulia alikuwa hawara,
pia upate wasaa wakumuuliza, kama ulimjua yule marehemu ni boyfriebd wake imekuwaje huyu mpya fasta hata majonzi ya msiba bado>?
 
Yote ni maisha, wewe kwa sababu ni rafiki yako nenda tu. Ila muzimu wake utamsumbua yeye milele na sio wewe.
 
the guy everyone thought was her boyfriend ndiye aliye fariki mwezi mmoja after kujua his galfriend of 7 years is getting married

kumwamini mtu saa nyingine sio vizuri, hivi unakuwa na mtu for 7 yrs na usielewe mipango yake???

any way rafiki yako hatakuelewa, itabidi uende tu kwa shingo upande, then nafikiri umeshajua kuwa huyo rafiki yako ni mtu wa namna gani!! TAKE A GOOD CARE
 
Da!! imeniuma utadhani mimi ndy niliyeumizwa, Huyo msichana ana roho ya chuma, lakin ukatili huu TUNAFUNDISHWA NA WANAUME, WANAUME WANATUUMIZA SN SN KIASI AMBACHO SOMTMS WANAWAKE NAO WANAKUWA KATILI ZAIDI YAO...KWENDA AU KUTOKWENDA HAYO NA MAAMUZI FUATA NDANI YA MOYO WAKO UNAONGOZWA NA NINI???......JAMAN HEBU TUACHA KUDANGANYANA, HAYA NDIYO MADHARA YA UONGO....WANAUME CHONDE CHONDE ACHENI UONGO,,MWANAMKE NI KATILI SANA PINDI ANAPOAMUA KUFANYA UKATILI ILA HURUMU WALIYOPEWA NA MUNGU NDIYO WAKATI MWINGINE INAWAZUIA WASIFANYE UKATILI.....IMENIUMA SN SN,,,SIJUI KWA NINI MAPENZI YAPO NA HAYAKWEPEKI???...NATAMANI NIPATE DAWA YA KUTOKUPENDA....JE IPO??
Da!! Dada wewe ni mbaguzi wa kijinsia kiasi cha kuamini kuwa mwanamke hawezi kuwa mwovu kama mwanadamu mwingine yeyote?! umeongea as if wanawake wote ni saints, hata wanapofanya makosa siyo wao ni wanaume!!
Umesema Mungu alimpa mwanamke huruma? So alimpa nini mwanaume??? Na kwa sababu umemtaja Mungu, wapi amesema kuwa ukatili wanawake wanafunzwa na wanaume??
 
Duuh hii noma,

Tafuta sababu ya kuto kwenda, manake unaweza kwenda ukaonekana huna furaha wakatafsiri vingine; wakati wewe una uchungu kutokana na kitendo alichomfayia boyfriend wake mpaka kumsabibishia kupoteza maisha.

Pole sana.
 
Kwa mfano ukienda, halafu hao ndugu wa marehemu ambao umesema unafanya nao kazi, wakikuuliza kama ulienda kwenye harusi utawajibuje? Umejaribu kufikiria kutakuwa na madhara gazi kazini kama kama ukienda kwenye hiyo harusi?
 
Nenda tu kila mtu hapa duniani ana mabaya na mazuri yake
 
Back
Top Bottom