PRECIOUSDOE
Senior Member
- Feb 3, 2009
- 114
- 12
- Thread starter
- #41
hihihihihihi......hebu geuza upande wa pili je kama huyo kaka alikuwa ndio anaoa na dada akakufa halafu wewe ndio rafiki wa kaka......ungeenda harusini?
kwanza hapo basi ndipo singeenda hata bila ya kufikiria,lakini wanawake hujali sana usipotokea kwenye harusi yao.wanaume naona hawajali sana.