Should Maximo stay and enjoy the money 4 nothing? - Contract to be renewed?

Meangalia ratiba ya CECAFA kwa vile ahadi ni deni na tushakosa ya 2008 tukijitahidi Ghana wanaweza kuhosti tena baada ya miaka 53 (kiharakaharaka considering # ya nchi za kiafrika) hapo hujaweka mzunguko wa mashindano ambao ni miaka mingapi tena? Teh teh teh, ahadi ni deni lakini wenzako Waungwana washasahau kaka......

Teh teh teh..... Hivi Mtaalam, unakumbuka yale majengo yalijengwa kule Kilwa Rd maeneo ya Kurasini kwa ajili ya kuwa kituo cha michezo.... hayakumalizwa yale na yalikuwa na viwanja vikubwa na karibu sana na Uwanja wa Taifa (nadhani bado jina halijabadilishwa manake mh ni kasheshe kasi inakuwa kubwa kidogo for slow snails kama mimi ku-catch up)..... Well mwaka juzi tulijenga kituo kingine from scratch pale Karume zamani, na kile cha zamani - mh..... ha ha haaaa

sawa tu tutafika, Heri ya Eid El-Adha Waungwana....
 
It was a deadly mistake to replace 60% of the Taifa stars players for Kili stars and expect them to perform within 2 weeks. Kule ulaya kocha pia ni meneja anaachiwa maamuzi yote lakini wakiona logic kuwa ameboa hawasiti kumuambia. Hapa bongo kila kitu TAWILE. No body questions anything?
 
Tatizo kubwa tulilokuwa nalo kwa sasa ni wachezaji wenyewe.Kwa wachezaji tuliokuwa nao sasa hata aje Mourinho au Wenger- bado kupigwa bao kutakua palepale.
 
Watanzania michezo yataka maandalizi ya muda mrefu na uvumilivu.Maximo ameleta hamasa ya namna ya pekee.Usisahau nazi...
 

Max and his tourists?
 
Wadau inasikitisha sana kuona kuwa tuna kocha kutoka moyo wa soka duniani (brazil) lakini bado tukawa kama alivyotukuta na tabia za kubadilibadili timu tukihofu kuwa timu tuliyonayo sio nzuri!! Hebu tuchukulie mfano mchezaji 'Machupa' aliitwa timu iliyopita na hakucheza mechi ametemwa kikosini.....NAHOJI JE MAXIMO NI KOCHA MZURI NA ANAWAPIMAJE WACHEZAJI WA TZ??HATUTAPATA MAFANIKIO MPAKA HAPO TUTAKAPOPATA KOCHA NA SIO MAXIMO!
 
TUMEKUWA NA MAKOCHA WENGI.....NA KATI YA HAO MAKOCHA WAPO WALIOFANYA VIBAYA NA WAPO WALIOFANYA VIZURI...KATI YA MAKUNDI HAYO MAWILI MAXIMO YUPO KUNDI LIP?
NA KATIKA HILO KUNDI ANAWEZA KUWA YUPO KATIKA NAFASI IPI YA UBORA????
 
Naomba mjadala huu ukae hapa ili wengi wachangie ila tusiweke siasa za vyama vyetu bali maslahi ya timu yetu ya Taifa na nchi kwanza.

Naomba sana mjadala uwe kwenye mustakabali wa timu yetu ndugu zangu.

Michuzi blog na sehemu nyinyine kuna hoja za kocha huyu, JF na sisi tulitizame hili kwa kina.

Maximo si kocha wa CCM wala Chadema au CUF. kama inavyojulikana JK wa CCM amemleta kocha huyo anafanya kazi na kada wa Chadema bwana Tenga Leodgar.

Maximo kamfukuza Haruna Moshi kuwa hana nidhamu alipoombwa radhi akasema hawezi kumuita timu ya Taifa hadi aone kiwango cha mchezaji huyo uwanjani.

lakini Haruna Moshi alichaguliwa na huyo kocha wiki mbili zilizopita, sasa hakujua kiwango cha mchezaji huyo wiki mbili zilizopita? alitumia kigezo gani kumchagua?

amekuwa akisema kuwa wachezaji hawana nidhamu jee mwalimu kazi zake si kuongeza nidhamu kwa wachezaji?

Golikipa Mapunda alimfungia kwa miezi sita na alipomaliza tu kifungo chake akamwita timu ya Taifa bila kuona kiwango chake.

mara amekuja kujenga msingi kwani nchi yetu haina msingi imara, sasa angechukua timu ya Vijana na hii isiyofundishika amwachie kocha mwingine.

nauliza jee tatizo ni kocha au wachezaji wetu? wadau tuchangie kwa mawazo ya kuitakia wema nchi yetu.
 









Nilishawahi kusema siku za nyuma na sina haja ya kuongeza zaidi ya yale yale niliyosema hapo awali kuhusuMAXIMO.


Huyu jamaa aliposaini contract ilikuwa atatupeleka GHANA na kashindwa kudeliever sasa sijui mpaka leo anafanya nini na time ya Taifa. We all know the BRAZILIANs main failing was that he courted popularity first and success second. This warped priority could lead only to disaster. One decision after another was based on his need to be liked. That made him a coach seeking to avoid blame, and that is the same as avoiding responsibility.

I am sorry to say this lakini akina NIZAR KHALFANI are not looking forward to play professional football in Brazil where this twat MAXIMO is taking TAIFA STARS but rather EUROPE.


Nungwi, You judge a manager by his results, not by the PR strokes he pulls. And when the results start to go wrong, everything else goes wrong as well. Now, a manager doesn't really have a lot to do. He doesn't score the goals, he doesn't make the tackles, he doesn't run about. Basically, he is paid to make decisions.


The trouble is that good decision-making needs a clear mind and an unsentimental grasp of facts. MAXIMO never showed any sign of having either.
 
wamsuck tu!kashindwa kazi

My exact sentiments! I always believed that Maximo was A MAN for the job. Not THE MAN, I would have thought that our football association members asked themselves: is this man a winner?




Maximo has adopted the usual charade used by JK by talking positively, as he always does, but there needs to be some vision behind the words. If not, it would be better in the long run if the our football association gets shot of him now.




Maximo’s brief period in charge of Taifa Stars has a navigation from one disaster to the next. There was not a blip. Loosing to Mozambique wasn’t bad luck. It wasn’t even the strength of the opposition, and that is a key point. Under Maximo,(the so called world class coach that we pay millions) Stars consistently performed below their potential and there is no more damning fact than that for a football coach. Being in 89 in FIFA ranking isnt good enough.




It is not that the job is impossible. Of course the pressure is intense, that’s why the job needs a man of remarkable strength, one who is certain of what he wants, equally contemptuous of critics and flatterers, with the nerves of a burglar and a deep understanding of international football.





Such men exist. They are rare, which is why they command high salaries. The pressure is absurd, the criticism hysterical in many countries. But what the job demands above all else is a self-confidence devoid of vanity. MAXIMO has the exact opposite. I don’t think any of us is in the least bit surprised about that. Maximo never had it: you could see it in the cut of his jib; above all, you could see it in his smile.




His appointment was a bad decision made in a bad way and nothing but bad came of it. Still, at least the disaster was complete: a lucky skin-of-the-teeth qualification would have meant that we were stuck with him for more years, until Taifa failed to qualify for the Ghana. Now let us hope for a real manager. I think we deserve a non-bluffer this time.


The man should face the sack and nothing more
 
Tatizo sio kocha bali ni wachezaji ambao wengi wao ni malimbukeni ,wale wanaoiga mambo ya sinema wakati hawajawahi hata kuona movie camera,nidhamu ni kitu cha juu ,ila wachezaji wetu ambao hulipwa vijisenti vichache wanajiona hakuna kama wao na hujiona kiwango chao kimefikia uchezaji wa kulipwa kumbe wanasahau kama wanalipwa kwa fedha za madafu ukizibadilisha na kuziweka katika kiwango cha fedha za kimataifa USd utaona si chochote si lolote ni feza ndogo sana ambayo mbeba mabox wa DHL anaipata kwa wiki tu,lakini wao huona ni fedha kubwa na kufika kujiona kama akina Romario au Zedani na hapo huwa na jeuri kubwa ,mazoezi anaenda kwa wakati anaotaka yeye,na siku anayoona hayupo katika mudi mzuri haendi na hata akienda anakuwa haambiliki wala hafundishiki ,kama wangekuwa na ufahamu wa hao mastaa wa dunia kuwa hawachelewi mazoezini wala hawana jeuri kwa wanaowafundisha na wanafuata amri zote za klabu zao basi wangejiona wanalolifanya si kuwa hawafai katika timu ya Taifa bali hata kwenye vilabu vyao.
Kwanza hebu watazame Tanzania ipo katika kiwango gani cha Mpira ,ina wachezaji wangapi wa kulipwa katika vilabu vinavyosajili wachezaji mastaa duniani , naona ni sifuri ,ndipo hapo ukaona hawa wachezaji wanafanya kiburi kisichokuwa na mshiko ,anachofanya kocha ni kuwaumbua tu na kuwaonyesha kuwa Tanzania ina watu wengi ambao ni kama wao na pengine wako wenye kiwango kizuri na akili na moyo wa kutaka kuonyesha kipaji chao bila ya jeuri ,ila kocha yumo katika kuwatafuta na kuwajaribu kwani wengi wa wachezaji wa kweli inakuwa vigumu kupata nafasi katika vilabu kwa kuwa wanakuwa wakimya na si wasemaji au wenye kutumia vitisho na milungula kuwapa maswaiba ili kuwapanga katika mechi.
 
He should be fired if we loose the game with Cameroun or even a draw. It is time to show him a pink slip. Enough is enough. That is my opinion.
 
He should be fired if we loose the game with Cameroun or even a draw. It is time to show him a pink slip. Enough is enough. That is my opinion.

Huyu kocha mkiufukuza basi huenda akaamini kama dua zake zimekubaliwa ,unajua unaweza kufundisha watoto wadogo wa dalasa la kwanza lakini kuwafundisha ngumbalo ni kazi kweeli kweeli.Wengi wa wachezaji wa Taifa wameanza kucheza mpira ukubwani ,na wamepachikwa pachikwa kwa kuwa tu wanajulikanana na mafisadi.Ni bora ipigwe kura ya maoni kuchagua timu ya Taifa Ni bora wapenzi wa soka kila mmoja alete majina ya wacheza kumi na tano ,halafu litazamwe jina ambalo limepata kuwemo katika union set ya makusanyo yote ya maombi ,na lichaguliwe lile lililojitokeza mara nyingi.Lakini kwa hawa vigogo kwenda mpirani na kutazama anao anao siku zote tutaondoka na wachezaji wa nguvu za soda.
 
My exact sentiments! I always

The man should face the sack and nothing more

Sacking Maximo will be catastrophic to JK. This is the only hope he has now and if he also fails in football, as he has failed in every other field, which tree will he then hold on to? I mean what will be JK's legacy in this case?
 
Mimi namlaumu Makamu wa Rais Dr Shein yaani wenzie wote wanafuatilia timu kwenda kambini na kwenye mechi yeye hata kutoa salam hajawahi kutoa!

Hivi baina yake na Boss wake ni nani alie busy zaidi?

Yego!!
Kutiki?kumbe umerudi kaka?
 
Maximo ni kocha mkuu wa timu yetu ya taifa, kwa hiyo matokeo yoyote mabaya ni lazima awajibike. Tusilaumu wachezaji, kwani hao wachezaji ni nani anayewateua? Ni yeye mwenyewe!!! Kama kweli angekuwa serious basi angefanya scouting ya kutosha nchi nzima kutafuta wachezaji mahiri wa soka ambao naamini wapo wengi tu, ila hawajapata exposure. Mambo ya kusubiri mpaka mchezaji aibukie Kagera Sugar baada ya kuchezea timu ya kijiji chao kwa miaka kadhaa, kisha aje Yanga au Simba, halafu umchukue Stars na uishie kumlaumu kwamba hafundishiki IS NOT FAIR!!

Mbali na Maximo yupo kocha mwingine wa timu ya vijana anaitwa Tinoco....Hovyo kabisa, atimuliwe hata kesho, maana ana miaka miwili tangu kaja hapa, analipwa mshahara na marupu rupu kibao...muulize timu ya taifa ya vijana aliyonayo na imeshiriki mashindano gani so far, hakuna!!!

Tuangalie upya hawa jamaa, wanatulisha sumu!!!
 
He should be fired if we loose the game with Cameroun or even a draw. It is time to show him a pink slip. Enough is enough. That is my opinion.

Mkuu huu mtihani ni wa Form IV umempatia mwanafunzi wa Form III, kufauru ni vigumu labda kwa kutumia ujanja kwani kuna-topics bado hajasoma/hajafundishwa.
 
Sacking Maximo will be catastrophic to JK. This is the only hope he has now and if he also fails in football, as he has failed in every other field, which tree will he then hold on to? I mean what will be JK's legacy in this case?

Toka lini JK akawa mtu wa mafanikio ya kweli? Huyu jamaa ni mtu wa ujanja ujanja. Bahati mbaya katika futiboli la kiintaneshno hakuna ubabaishaji wa ngazi ya huyu bwana. Matokeo yake ni kuadhirika kila eneo.

Mimi sishangai timu ya taifa kufanya vibaya. Maximo sio kocha wa kufundisha timu ya taifa linalotaka maendeleo ya soka katika medani ya kimataifa. Ilikuwa saikolojia ya neno kocha mbrazili. Too cheap.

Hii ndio bongo bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…