Should Maximo stay and enjoy the money 4 nothing? - Contract to be renewed?

Ndugu yangu in Afrika makocha wengi wa timu za taifa hawafukuzwi ila wanaondoka wenyewe.
 
Mkuu Malaria Sugu heshima mbele.

Naomba kutokubaliana na wewe kuhusu kuachwa kwa Juma Kaseja katika kikosi cha timu ya taifa.Kwanza nakikubali kiwango cha Juma Kaseja lakini urefu wa Juma Kaseja inawezekana ikawa ndiyo sababu ya kuachwa katika kikosi cha taifa stars.

Angalia mpira ya wenzetu walioendelea kisoka hakuna siku utaoana timu inakuwa na kipa mfupi kama Juma Kaseja.Maximo anaweza kuwa tatizo lakini kuachwa kwa Juma kaseja bila shaka tuko pamoja na Maximo.
 
u8refu sio kigezo tumeona makipa wenye urefu kama wa kaseja wengi tu time za taifa.... thats not a point.. kwani urefu haudaki mpira.. na uwezo wake ndio unaomfanya kuwa kipa bora.. huyo mapunda yuko wapi sasa hv na urefu wake..

tafuta point ya maana bro.. tukubali Maximo kachemsha kwa hili kuweka sababu zake binafsi kwenye maslahi ya taifa sio sawa.. ukiuliza eti yeye professional mbali ya uprofessional wake yeye ni binadama kama wengine
 
uliwahi kumuangalia Kipa wa MAXIMO wa kombre la Dunia 95 ambae alicahguliwa kuwa kipa wa tIMU YA DUNIA? alikuwa kipa mfupi kuliko wote.
lkn jee kama kaseja mfupi? mbona ndio kipa bora wa tz? jee magoli ya huko ndio marefu? FIFA imekataza kuwa na kipa mfupi? jee mbona tuna washambuliaji wa fupi? jee mipra ya kona wanaipata vipi?
Swala sio ufupi. uwzeo wa kudaka. jee wachezaji wetu mbona inakuwa vigumu kumfunga kaseja juu ya ufupi wake?

Juma Kaseja ni kipa bora Tanzania kwa vigezo vyetu muzee na pengine ndiyo sababu soka letu halipigi hatua.Nasisitiza Juma Kaseja hafai kuwa kipa wa timu ya taifa kwasababu ni mfupi sana.

Naomba nitajie makipa watatu bora dunia wenye kimo kama cha Juma Kaseja !!!!!!!!!!!!!!!!.Utashangaa sana jinsi utakavyobabaika.Matatizo ya taifa stars sipendi yaambatanishwe na Juma kaseja.Naamini ni zaidi ya jinsi tuanbvyotaka kulaumu.

Tunatakiwa tuanze kufundisha soka mashuleni na kuanzisha Academy za soka katika kila kata au wilaya kama tutataka soka letu lisonge mbele.Kuwalaumu Mwakalebela,maximo na Tenga ni sawa na kumlaumu ng'ombe asiyelishwa vizuri kwa kutokutoa maziwa mengi.

Naomba kuwasilisha.

Kama ni hivyo, wanafanya nini hapo si wajiuzulu?

Kwanza naomba ukubali kwamba ni nadra sana [hakuna] kukuta timu kubwa/bora dunia zina makipa wafupi kama Juma Kaseja.Unajua ufupi wa Kaseja unamvutia hata mchezaji wa timu pinzania kujaribu kupiga mashuti goli kwasababu mara nyingi kipa mwenye umbo kubwa [urefu] anajaa golini na hivyo kumpa wakati mgumu mfungaji.

Tenga,Maximo na Mwakalebela hawawezi kujiuzulu kwasababu kuanzisha Sport accademy za michezo yote linahitaji msukumo[sera] wa serekali.Ninapo sema michezo yote nina maana mpira wa miguu,Ngumi,riadha na nk.
 
Hawa Viongozi wote hawafai kabisa wajiuzuru tu maana hatuoni maendeleo yoyote.
Kipa mzuri anaachwa na wachezaji wazuri wanaachwa.
Sababu zake ni za kitoto kabisa
Hakuna kipa bora kuliko Juma Kaseja wote tunafahamu
Athumani Idd na Haruna Moshi bado ni wazuri sana.
Tenga na Mwakalebela hawafai kabisa wajiuzuru.
 
Watanzania wenzangu ebu msiwe na fikira fupi kuwa mafanikio ya timu yetu ya taifa yanamtegemea kaseja,sio kweli na kamwe haita kuwa kweli,ile timu ina mapungufu mengi sana na kama mmesoma mwanachi ya leo basi mtauwa mmeona hata kidogo Boniface mkwasa aliyo yasema...tatizo letu tanzania ni vilabu vyetu vya soka kuwa havitoi maandalizi/mafunzo ya kutosha kwa wachezaji ila sisi tumekuwa tukitoa lawama zetu kwa kocha wa starz hiyo sio sawa hata kidogo.Kaseja sio kuwa yeye ndo ana faaa sana!!!!hv niulize kama kweli watu tuna akili timamu,unaweza ukaamini mafanikio ya timu yanamtegemea mchezaji mmoja...watanzania ebu basi tuache kuwa na FIKIRA MGANDO na AKILI ZILIOZO SINYAA..
 
Hivi hata Kaseja angekuwepo ndio tungeshinda game ya Misri,timu yote defence,midfielder na striker ni mbovu
 
Mkuu Malaria Sugu heshima mbele.

Naomba kutokubaliana na wewe kuhusu kuachwa kwa Juma Kaseja katika kikosi cha timu ya taifa.Kwanza nakikubali kiwango cha Juma Kaseja lakini urefu wa Juma Kaseja inawezekana ikawa ndiyo sababu ya kuachwa katika kikosi cha taifa stars.

Angalia mpira ya wenzetu walioendelea kisoka hakuna siku utaoana timu inakuwa na kipa mfupi kama Juma Kaseja.Maximo anaweza kuwa tatizo lakini kuachwa kwa Juma kaseja bila shaka tuko pamoja na Maximo.

kuna haja gani ya kuwa na kipa mrefu asiye na mbinu za kudaka anapigwa magoli 5 kama kipa wa Katavi miaka hiyo..na kuwa na kipa mfupi anayejituma na mwenye mbinu za kuzuia magoli...
 
Mjukuu sometimes unakuwa na busara kweli ukiweka mbali ushabiki wa ufisadi
u8refu sio kigezo tumeona makipa wenye urefu kama wa kaseja wengi tu time za taifa.... thats not a point.. kwani urefu haudaki mpira.. na uwezo wake ndio unaomfanya kuwa kipa bora.. huyo mapunda yuko wapi sasa hv na urefu wake..

tafuta point ya maana bro.. tukubali Maximo kachemsha kwa hili kuweka sababu zake binafsi kwenye maslahi ya taifa sio sawa.. ukiuliza eti yeye professional mbali ya uprofessional wake yeye ni binadama kama wengine
Unaimbia viziwi yaani watu wengine ni wakukubali kila kitu eti kwa sababu kasema mtu mwenye ngozi nyeupe. Kama tatizo la Kaseja ni ufupi iweje ameweka hao warefu inakuwa kama kuna mashati golini? Kama urefu ni hoja basi tumlete Hashim Thabeet inaonekana hatutafungwa tena.

uliwahi kumuangalia Kipa wa MAXIMO wa kombre la Dunia 95 ambae alicahguliwa kuwa kipa wa tIMU YA DUNIA? alikuwa kipa mfupi kuliko wote.
lkn jee kama kaseja mfupi? mbona ndio kipa bora wa tz? jee magoli ya huko ndio marefu? FIFA imekataza kuwa na kipa mfupi? jee mbona tuna washambuliaji wa fupi? jee mipra ya kona wanaipata vipi?
Swala sio ufupi. uwzeo wa kudaka. jee wachezaji wetu mbona inakuwa vigumu kumfunga kaseja juu ya ufupi wake?
This is a million dollars question na hatakaa ajibu. Kaseja ni mfupi mbona ndiye golikipa aliyefungwa magoli machache mpaka sasa?

Juma Kaseja ni kipa bora Tanzania kwa vigezo vyetu muzee na pengine ndiyo sababu soka letu halipigi hatua
.
Pumba at its best. Soka ya Tanzania haiendelei kwa sababu ya kipa mfupi Kaseja?

Nasisitiza Juma Kaseja hafai kuwa kipa wa timu ya taifa ni mfupi sana.
You are entitled to your opinion. Simba walicheza michezo ya last eight kwenye African champions league wakiwa na huyo kipa mfupi Kaseja. Waliwatoa Al ahly wakiwa na Kaseja leo leo wewe unaleta upupu wako eti mfupi.

Naomba nitajie makipa watatu bora dunia wenye kimo kama cha Juma Kaseja !!!!!!!!!!!!!!!!.Utashangaa sana jinsi utakavyobabaika.Matatizo ya taifa stars sipendi yaambatanishwe na Juma kaseja.Naamini ni zaidi ya jinsi tuanbvyotaka kulaumu.
Tunatakiwa tuanze kufundisha soka mashuleni na kuanzisha Academy za soka katika kila kata au wilaya kama tutataka soka letu lisonge mbele.Kuwalaumu Mwakalebela,maximo na Tenga ni sawa na kumlaumu ng'ombe asiyelishwa vizuri kwa kutokutoa maziwa mengi.

Naomba kuwasilisha.
Mind you we don't care about the color of the cat as long as it catches mice.

Kwanza naomba ukubali kwamba ni nadra sana [hakuna] kukuta timu kubwa/bora dunia zina makipa wafupi kama Juma Kaseja.Unajua ufupi wa Kaseja unamvutia hata mchezaji wa timu pinzania kujaribu kupiga mashuti goli kwasababu mara nyingi kipa mwenye umbo kubwa [urefu] anajaa golini na hivyo kumpa wakati mgumu mfungaji.

Tenga,Maximo na Mwakalebela hawawezi kujiuzulu kwasababu kuanzisha Sport accademy za michezo yote linahitaji msukumo[sera] wa serekali.Ninapo sema michezo yote nina maana mpira wa miguu,Ngumi,riadha na nk.

Hawa Viongozi wote hawafai kabisa wajiuzuru tu maana hatuoni maendeleo yoyote.
Kipa mzuri anaachwa na wachezaji wazuri wanaachwa.
Sababu zake ni za kitoto kabisa
Hakuna kipa bora kuliko Juma Kaseja wote tunafahamu
Athumani Idd na Haruna Moshi bado ni wazuri sana.
Tenga na Mwakalebela hawafai kabisa wajiuzuru.
Hawatakusikia hawa hawamtaki tu kwa sababu alichukua mamilioni yao halafu karudi Simba

Watanzania wenzangu ebu msiwe na fikira fupi kuwa mafanikio ya timu yetu ya taifa yanamtegemea kaseja,sio kweli na kamwe haita kuwa kweli,ile timu ina mapungufu mengi sana na kama mmesoma mwanachi ya leo basi mtauwa mmeona hata kidogo Boniface mkwasa aliyo yasema...tatizo letu tanzania ni vilabu vyetu vya soka kuwa havitoi maandalizi/mafunzo ya kutosha kwa wachezaji ila sisi tumekuwa tukitoa lawama zetu kwa kocha wa starz hiyo sio sawa hata kidogo.Kaseja sio kuwa yeye ndo ana faaa sana!!!!hv niulize kama kweli watu tuna akili timamu,unaweza ukaamini mafanikio ya timu yanamtegemea mchezaji mmoja...watanzania ebu basi tuache kuwa na FIKIRA MGANDO na AKILI ZILIOZO SINYAA..
Boniface Mkwasa sio msahafu alikuwa anatoa maoni yake na pia ni upande wa pili. Je umemsikia Mziray? Kasema ukiwa na kipa mbovu na beki itakuwa mbovu na kasema kuwa kwa waliopo Kaseja anafaa, sasa kati ya Mziray, Ngongo na vitendo nani anajua vema mchango wa urefu wa kipa. Acheni unazi wenu urefu ni coincidence tu.
 
Mkuu Malaria Sugu heshima mbele.

Naomba kutokubaliana na wewe kuhusu kuachwa kwa Juma Kaseja katika kikosi cha timu ya taifa.Kwanza nakikubali kiwango cha Juma Kaseja lakini urefu wa Juma Kaseja inawezekana ikawa ndiyo sababu ya kuachwa katika kikosi cha taifa stars.

Angalia mpira ya wenzetu walioendelea kisoka hakuna siku utaoana timu inakuwa na kipa mfupi kama Juma Kaseja.Maximo anaweza kuwa tatizo lakini kuachwa kwa Juma kaseja bila shaka tuko pamoja na Maximo.

Ndugu yangu urefu ndio nini? Ingekuwa Basketball ningekubali. Haina maana yoyote kumpanga kipa mrefu anayefungwa hovyo na kumuacha kipa "Mfupi"anayefungwa kwa taabu. Hapa suala ni uwezo, hilo la urefu ni ingredient nyingine, ila kwanza uwezo! Ndio yale yale ya Mwaikimba kisa mrefu akawa first choice national team,uwezo zero matokeo yake Ngassa ambaye ni mfupi kuliko wote ndio tegemeo letu kwa sasa kwenye ushambuliaji.
 
Juma Kaseja ni kipa bora Tanzania kwa vigezo vyetu muzee na pengine ndiyo sababu soka letu halipigi hatua.Nasisitiza Juma Kaseja hafai kuwa kipa wa timu ya taifa kwasababu ni mfupi sana.

Naomba nitajie makipa watatu bora dunia wenye kimo kama cha Juma Kaseja !!!!!!!!!!!!!!!!.Utashangaa sana jinsi utakavyobabaika.Matatizo ya taifa stars sipendi yaambatanishwe na Juma kaseja.Naamini ni zaidi ya jinsi tuanbvyotaka kulaumu.

Tunatakiwa tuanze kufundisha soka mashuleni na kuanzisha Academy za soka katika kila kata au wilaya kama tutataka soka letu lisonge mbele.Kuwalaumu Mwakalebela,maximo na Tenga ni sawa na kumlaumu ng'ombe asiyelishwa vizuri kwa kutokutoa maziwa mengi.

Naomba kuwasilisha.

Naomba nitajie makipa watatu warefu wanaofungwa magoli ya HOVYO/KIJINGA kama DIHILE.
 
Jana nilisoma moja ya makala ktk gazeti moja linalotolewa kila wiki . makala hiyo iliandikwa na Mzirai na alisema kwamba tatizo la kufungwa kwa taifa stars kunatokana na baadhi ya wa vyombo vya habri kumuogopa MAXIMO na kumsifu sana kinyume na utendaji wake wa kazi.Alishangaa kumuacha KIPA Juma K juma ktk timu ya Taifa.

Mkuu Malaria sugu tafadhali weka makala yote ya Mziray ili tuweze kuijadili vizuri.Kwa kuanzia tu tayari naona Mziray anachemka kwa kudhani taifa star imefanya vibaya kwasababu Kaseja akuchaguliwa.

Juma Kaseja ni kipa mzuri lakini ufupi wake unachagia kwa kiasi kikubwa kuachwa kwenye kikosi cha timu ya taifa.Najua wako mashabiki wengi wa Juma Kaseja wanatumia vyombo vya habari kushinikiza aingizwe timu ya taifa,naomba kuwauliza ni timu gani kubwa dunia yenye kipa andunje kama Juma kaseja ?.Nitajieni walau makipa watatu tu !!!!.
 
Mkuu unamkumbuka Horge Campos?alidakia Mexico world cup 1994 na alitisha kwa kudaka.Alikua mfupi kama Kaseja

Mexico

Career

DOB:
15.10.66

Caps:
123

Goals:
0

Jorge Campos
Club:
UNAM
Position:
Goalkeeper

Famed more for his self-designed fluorescent jerseys than for his goalkeeping ability, Campos has snuck back into Javier Aguirre's thinking at the last minute.
Ignored throughout World Cup qualifying under Aguirre, the coach gave him his first call-up as recently as this April for the friendly with Bulgaria.
Short and slight in build, Campos does not look like a typical goalkeeper.
Skilled with the ball at his feet he has a tendency to leave his box on a frequent basis and will even join in with the odd attack.
His preference for punching and parrying rather than actually catching the ball leads to some nervy moments for his defenders.
Rivals Oswaldo Sanchez as second-choice keeper behind regular starter Oscar Perez.

Source,BBC SPORTS
 
Mkuu Umushororo Heshima kwako.

Kwanza nakupongeza kwa kujibu hoja ingawa si kwa asilimia zote.
Swali langu nimeomba nitajie makipa watatu andunje kama Juma Kaseja wewe umekimbilia kumtaja kipa mmoja tu hii pengine inathibitisha kile ninachokipigia kelele kwamba ni vigumu sana kukuta timu kubwa zinatumia makipa andunje.
 
Mkuu Malaria sugu tafadhali weka makala yote ya Mziray ili tuweze kuijadili vizuri.Kwa kuanzia tu tayari naona Mziray anachemka kwa kudhani taifa star imefanya vibaya kwasababu Kaseja akuchaguliwa.

Juma Kaseja ni kipa mzuri lakini ufupi wake unachagia kwa kiasi kikubwa kuachwa kwenye kikosi cha timu ya taifa.Najua wako mashabiki wengi wa Juma Kaseja wanatumia vyombo vya habari kushinikiza aingizwe timu ya taifa,naomba kuwauliza ni timu gani kubwa dunia yenye kipa andunje kama Juma kaseja ?.Nitajieni walau makipa watatu tu !!!!.

Height is certainly an advantage for a goalkeeper - not only can they reach higher shots more easily but the proportions of the human body tend to mean tall people also have longer arms, making getting to the ball easier in general.

Of course, if you are shorter you will have other advantages such as being able to get down for low shots slightly quicker.

Nothing is impossible, and there is no magic cut off point that says someone 5 foot 11 tall person can't play in goal, but you won't find many goalkeepers under 6 foot tall at the higher levels of the modern game.

There is hope for shorter people though - the shortest goalkeeper to play for England was Teddy Davison who measured just 5 foot 7!
 
HIvi Mafarao ndo wasingemfunga KASEJA, Mzirai anacheza sana, huyu jamaa ana chuki binafsi na Maximo.
 
Tatizo wala sio Maximo ila Tz bado hatuna wachezaji wanaoweza kuhimili mikiki ya kimataifa, asilimia kubwa ya wachezaji waliopo sasa walianza na mpira ambao sio wa darasani ndio maana inakuwa vigumu kwa kocha kuchagua coz leo mtu anaonyesha kiwango kesho hakuna kitu, wachezaji wetu wanakuwa kama vile wanategemea bahati flani iwaangukie ndio wacheze vzr. Hakuna mchezaji bongo aliyewika kuwa bora kwa mfululizo mpaka akakubalika, tunategema vipaji. Soka ni biashara kubwa sana sasa hv duniani, vijana wapige shule ya soka ili wacheze mpira wa kisasa sio mambo ya kucheza beki coz unakifua kikubwa na misuli minene au kucheza winga coz una mbio sana , hayo mambo hayapo tena...........kazi kweli kweli!!!!!!
 
Juma Kaseja ni kipa mzuri lakini ufupi wake unachagia kwa kiasi kikubwa kuachwa kwenye kikosi cha timu ya taifa.

Unaposema Kaseja ni kipa mzuri unamaanisha nini?

Hapa Tanzania ni kipa gani bora kuliko Kaseja? Yaani unataka kutuambia kuwa hata kama kuna kipa ambaye sio mzuri kama Kaseja basi aitwe timu ya taifa kwa kuwa ni mrefu kushinda Kaseja?
 
Back
Top Bottom