Shoutout zangu kwa mideko,mkwepu jr na raraa reree

Pongezi kwao kwa kweli, mara nyingi tunaandika vitu huku si kwa lengo la kupata like bali kushare kile tulicho nacho katika jamii yetu hapa Jf, maoni na michango yetu unatofautiana sana kwa sababu kuna wenye upeo na elimu kubwa wanaweza kutoa maoni kila anayesoma anajua kabisa haya yametoka kwa mtu smart.
Wakina sisi wengine tunatoa tu maoni lakini hatujui kama yanahesabika kama maoni au ni pumba!
Badala yake tumekuwa tunapata notification mara kwa mara kwamba fulani ame like maoni yako, huwa inatoa faraja sana na hamasa ya kuchangia na pia kujiona upo katika jamii inayokuthamini.
Heshima kwenu nyote toa like kwenye maoni mbalimbali.

Nilikua naangalia reaction received kwa upande wangu naomba nikushukuruni sana
allypipi Shimba ya Buyenze Extroverted Introvert Extrovert Mideko mkwepu jr mawardat Mshana Jr Makiwendo
Genecandy
Bantu Lady raraa reree
 
Barikiwa sana Rafiki....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata demu anaweza kua nae sasa? Alivyo mkimya hvo ana anzaje kutongozaa.?? Lol
Weeeee kuna siku anakomentigi sasa Kuna komenti yake moja ya kuambiwa aache ushamba wa kula jicho watu tulishangaaaa kweli!!
Hao wapole waonege hivohivo tu wanakuaga Nyokko sana kwenye kusimamia ukucha
 
Back
Top Bottom