Hizo hesabu sijaona umuhimu wake katika maisha wala uzitumii maishani na zimetupotezea muda tu.
Zaidi ya kujibu mtihani hazina msaada wowote
Acha kujidanganya wewe subiri nikueleze umuhimu Wa tropic mbalimbali za hisabu
Matrix - tunatumia mashambani, katika consruction, kwenye computer katika kudisign games
Parabola, hyperbola, ellipse - tunatumia katika harakati mbali mbali za kijeshi
Ikiwemo
Kurusha mabomu, kurusha ndege na hata satellite inayokufanya wewe ukaperuzi JF popote ulipo duniani na ukaangalia mpira nchi za nje
Co-ordinate geometry- tunatumia katika kuezeka nyumba na kuplan vipi roof iweze kua stable na yenye kupendeza kwenye nyumba
Probability - Ina matumizi mengi sana
Ikiwemo na hii ya kutengeneza vocha pamoja na account mbalimbali kwenye mabenki
Differntiation and integration - tunatumia katika kutafuta ukubwa Wa maeneo, tunatumia katika kusambaza maji mitaani na matumizi mengine mbalimbali
Wewe bado mpaka Saivi hujui umuhimu Wa hisabu
ZINDUKA MUAFRIKA