Show that Sin(A+B)=SinACosB+CosASinB

Show that Sin(A+B)=SinACosB+CosASinB

Hizo hesabu sijaona umuhimu wake katika maisha wala uzitumii maishani na zimetupotezea muda tu.

Zaidi ya kujibu mtihani hazina msaada wowote
 
Hizo hesabu sijaona umuhimu wake katika maisha wala uzitumii maishani na zimetupotezea muda tu.

Zaidi ya kujibu mtihani hazina msaada wowote

So! Kama hazina msaada walio ziweka walitaka zifanye kazi gani?!mi naona umeshindwa tuu kuisolve basi ukaona ngoja uipotezee,so!leave it kwa wanaojua umuhimu wake!
 
dah back umenikumbusha kinunda na lago......bro lyimo alikuwepo pia
 
Zina msaada ukiendelea mbele kwenye profesheni mbali mbali za sayansi. Haya mahesabu yanatumika kutengeneza theories na kutabiri majanga ili kujiandaa nayo.
Hizo hesabu sijaona umuhimu wake katika maisha wala uzitumii maishani na zimetupotezea muda tu.

Zaidi ya kujibu mtihani hazina msaada wowote
 
Duh!
unanikumbusha mbali sana. Kipindi hicho nilikuwa sipendi shule naendekeza kula bata. Baada yakuona sielewi nikakremua hiyo Equation, Mungu si athumani nikakuta kitu kama kilivyo kwenye paper nikakopi kama nilivyokremua. Matokeo kutoka nikapata pekeyangu darasa zima. siku mwalimu anakuja kufanya masahihisho darasani akanisifu sana kwamba mimi ni kichwa kuliko wote darasani akaniita mbele pale blackboard nishushe nondo. hahahaaaaaa..........ilinibidi niombe poo maana ni zaidi ya kuchemka. niliaibikaje?...hahahah......
 
Naomba nisaidieni ilo swali

Umeshasoma vector
Kila kila fomula Ina proving yake lakini na nyengine zina sehemu maalumu za kuprove.
Kama umesoma trigonometry ukaikuta hiyo fomula wewe kunywa proving yake utakwenda ikuta kwenye vector
 
Hizo hesabu sijaona umuhimu wake katika maisha wala uzitumii maishani na zimetupotezea muda tu.

Zaidi ya kujibu mtihani hazina msaada wowote

Acha kujidanganya wewe subiri nikueleze umuhimu Wa tropic mbalimbali za hisabu
Matrix - tunatumia mashambani, katika consruction, kwenye computer katika kudisign games
Parabola, hyperbola, ellipse - tunatumia katika harakati mbali mbali za kijeshi
Ikiwemo
Kurusha mabomu, kurusha ndege na hata satellite inayokufanya wewe ukaperuzi JF popote ulipo duniani na ukaangalia mpira nchi za nje
Co-ordinate geometry- tunatumia katika kuezeka nyumba na kuplan vipi roof iweze kua stable na yenye kupendeza kwenye nyumba
Probability - Ina matumizi mengi sana
Ikiwemo na hii ya kutengeneza vocha pamoja na account mbalimbali kwenye mabenki
Differntiation and integration - tunatumia katika kutafuta ukubwa Wa maeneo, tunatumia katika kusambaza maji mitaani na matumizi mengine mbalimbali

Wewe bado mpaka Saivi hujui umuhimu Wa hisabu

ZINDUKA MUAFRIKA
 
Hizo hesabu sijaona umuhimu wake katika maisha wala uzitumii maishani na zimetupotezea muda tu.

Zaidi ya kujibu mtihani hazina msaada wowote

mkuu kila dakika nazitumia!!! guy, kama hujasoma science au engineering chuoni kamwe hutaona umuhimu wa maths!! sikatai kwa levo ya advance hutaona kama maths hasa pure maths kama ina application katika real life... ila ukifika levo ya mbele na ukaisoma hapo ndipo utapojua nini maana ya mathematics katika maisha yako!!! karibu sana tuifurahie maths Money Stunna ...
 
Last edited by a moderator:
Duh!
unanikumbusha mbali sana. Kipindi hicho nilikuwa sipendi shule naendekeza kula bata. Baada yakuona sielewi nikakremua hiyo Equation, Mungu si athumani nikakuta kitu kama kilivyo kwenye paper nikakopi kama nilivyokremua. Matokeo kutoka nikapata pekeyangu darasa zima. siku mwalimu anakuja kufanya masahihisho darasani akanisifu sana kwamba mimi ni kichwa kuliko wote darasani akaniita mbele pale blackboard nishushe nondo. hahahaaaaaa..........ilinibidi niombe poo maana ni zaidi ya kuchemka. niliaibikaje?...hahahah......
Chezea hesabu wewe?
 
hakuna hesabu ambazo nilikuwa siziwezi na sizipendi kama trigonometric ratios kuanzia o level mpaka kwenye BAM a level. Nilikuwa nikikuta swali la trig siligusi hata kidogo; enzi za o level kama liko section B silichagui nafanya mengine, kama lipo section A basi ndo imekula kwangu, nilikuwa sitaki shida na kichwa changu kiligoma kabisa kuelewa hizi hesabu.
 
We want to express sin(A+B) in terms of trig ratios
additionFormulae.gif

From the diagram we can see that the area of the whole is equal to the sum of the areas of the inner triangles:
area LMP = area LMN + area LNP
0.5 p m sin(A+B) = 0.5 n p sin A + 0.5 m n sin B
which gives:
sin(A+B) = (n/m) sin A + (n/p) sin B
but n/m = cos B and n/p = cos A
substituting these gives:
sin(A+B) = sin A cos B + cos A sin B
 
hakuna hesabu ambazo nilikuwa siziwezi na sizipendi kama trigonometric ratios kuanzia o level mpaka kwenye BAM a level. Nilikuwa nikikuta swali la trig siligusi hata kidogo; enzi za o level kama liko section B silichagui nafanya mengine, kama lipo section A basi ndo imekula kwangu, nilikuwa sitaki shida na kichwa changu kiligoma kabisa kuelewa hizi hesabu.

Mi Kwenye Physics Vector wakichanganya na applications za Force ndo yalaaaa !

Nikasema mungu naziacha mpe tu maskini !
 
Hizo hesabu sijaona umuhimu wake katika maisha wala uzitumii maishani na zimetupotezea muda tu.

Zaidi ya kujibu mtihani hazina msaada wowote

mkuu hayo mambo yana application kwenye technology na ujenzi /enginering,na wanauchumi wa majengo pure
 
Back
Top Bottom