Shaaban Haufi
Member
- Apr 18, 2014
- 75
- 10
Naomba nisaidieni ilo swali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo hesabu sijaona umuhimu wake katika maisha wala uzitumii maishani na zimetupotezea muda tu.
Zaidi ya kujibu mtihani hazina msaada wowote

Kwani hukujifunza ukiwa kidato cha pili?
Chezea hesabu wewe?Duh!
unanikumbusha mbali sana. Kipindi hicho nilikuwa sipendi shule naendekeza kula bata. Baada yakuona sielewi nikakremua hiyo Equation, Mungu si athumani nikakuta kitu kama kilivyo kwenye paper nikakopi kama nilivyokremua. Matokeo kutoka nikapata pekeyangu darasa zima. siku mwalimu anakuja kufanya masahihisho darasani akanisifu sana kwamba mimi ni kichwa kuliko wote darasani akaniita mbele pale blackboard nishushe nondo. hahahaaaaaa..........ilinibidi niombe poo maana ni zaidi ya kuchemka. niliaibikaje?...hahahah......
hakuna hesabu ambazo nilikuwa siziwezi na sizipendi kama trigonometric ratios kuanzia o level mpaka kwenye BAM a level. Nilikuwa nikikuta swali la trig siligusi hata kidogo; enzi za o level kama liko section B silichagui nafanya mengine, kama lipo section A basi ndo imekula kwangu, nilikuwa sitaki shida na kichwa changu kiligoma kabisa kuelewa hizi hesabu.
Hizo hesabu sijaona umuhimu wake katika maisha wala uzitumii maishani na zimetupotezea muda tu.
Zaidi ya kujibu mtihani hazina msaada wowote