Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Hiyo alama ya Exit ni ya usalama endapo pakitokea shida... Hata kwenye parking za magari kuna exit...Kwanini ukumbi uwe mdogo? Na huo ni ukumbi au Korido mbona naona Exit>
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo alama ya Exit ni ya usalama endapo pakitokea shida... Hata kwenye parking za magari kuna exit...Kwanini ukumbi uwe mdogo? Na huo ni ukumbi au Korido mbona naona Exit>
Duh hiyo video ndio watu wengi?nimeona mpaka Meneja wa Kiba kakaa upande wa washabiki akiongoza ushangiliaji..kwi kwi kwi.Tabu kweli!Post yangu ya kwanza nimemuambia hata yeye hizo picha kazitoa kwa Alikiba ndo kajanazo hapa lakini kuna video pia inaonyesha tukio mbona watu walikua wengi sana tuu ndo maana nikasema tatizo letu watanzania tumeweka ushabiki/utimu mbele kuliko kusupport wasanii wetu. Hawata fika popote bila kuwasupport ona Diamond kafanya collabo na Ne-Yo nyimbo nzuri tu lakini watu bado wanaponda, kafanya Tour yake ile ya Tandale to the World lakini watu bado waliponda alienda kuwaimbia watanzania alikopita unadhani kwakuwafanyia hivyo wasanii wetu watasonga mbele hata pale wanapofanya vizuri hatuonyeshi kuwakubali?
UmetishaYeye show zake wanaingia wasouth tu hapo hakuna maroboti kutoka East Africa. Yooooooooooooooooooooooo
Da! Dharau kabisa aisee. Eti kwenye stage unapiga show huku watu wanaangalia mpira kwenye screen?Angalia hapa show
Unapiga show huku watu wanaangalia Mpira
Hahaaa. Picha hizo si kapost mwenyewe? Kaangalie video pia kwa Millardayoamepiga picha wapi yupo dar anazurura kachukua picha walizoposy watu nae kaibuka nazo tena zile za mbele tu ya jukwaa tu
nasemaga maahabiki wa kiba ni anti-diamondAli kiba ni mkubwa hapa Tanzania kwasababu ,haters wa Diamond ndio wanaompa ukubwa alionao hapa Tanzania..yaan Kiba anategemea haters wa mwenzake kutoboa..na ndio maana unaona show zake akitoka nje ya Tanzania na Kenya anakuwa msanii wa kawaida sana.
Great saynasemaga maahabiki wa kiba ni anti-diamond
ambao ndo hao hao msanii yoyote akiibuka wanamshabikia....ili kuleta ushindani na mond
Ali kiba kaweka kwenye istargram mleta mada katoa kule kaleta hapaMnanichanganya kuna huyu innocentkirumbuyo ameandika kuwa hizi picha ameweka Kiba mwenyewe nitajua wewe ndiyo Alli Kiba
Umenichekesha sana mkuuDuh hiyo video ndio watu wengi?nimeona mpaka Meneja wa Kiba kakaa upande wa washabiki akiongoza ushangiliaji..kwi kwi kwi.Tabu kweli!
Mm nakuambia nipo kwenye ukumbi mtaani kwetu fulham tu ila ukumbi umejaa sana alafu kwamfano tecno aje apije show hapa hiv watakuwa mashabiki wa mpira au mziki kwasababu walijaa kabla ya tecno ajaja[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Mpira unavuta RAIA sema kuchanganya Mpira na show ya music in kukosa userious kwenye kazi
Alikiba kujilinganisha na Diamond ni upuuzi. Kama anataka kufika mbali ni vema akaachana na mawazo ya kushindana na Diamond. Huwezi ukajiita King, mfalme halafu idadi ya watu kwenye show yako ni ya kufedhehesha namna hii.