Show ya Alikiba South Africa, iwe funzo kwa wasanii wa Bongo fleva

mleta mada umepiga picha wakati show haijaanza lete picha za show wakati inaendelea
amepiga picha wapi yupo dar anazurura kachukua picha walizoposy watu nae kaibuka nazo tena zile za mbele tu ya jukwaa tu
 
ali kiba mkubwa hpa kwetu tuu na hataki kukubali kama mwenzake diamond kafanya kazi kubwa mpaka hapo alipofikia...sasa yeye anaona ushabiki ulivo hapa ndo anajiona yuko juu sana bt kiukweli anatakiwa afanye kazi kubwa wala asitanie na kwa kipaji atafanikiwa bt sio bla bla hzi za kibongo
Sijaelewa huyu alikuwa chumba cha kubadilishia mavazi Ukumbini!!?
Du!! Diamond si level ya huyu mtu
 
Mengment yake mbovu kisha haina pesa wacha Mond aendelee kutamba
 
Haya maneno hayaondoi ukweli kwamba uwezo wa wasanii wetu nje ya nchi ni dogo
Tens ukiweka video ndo utamdhalilisha zaidi nenda kwa Millard ayo utaiona
Kwanza utagundua wale in watanzania waishio sauzi tena wengine wanaangalia mpira hapo hapo
ndo maana nikakuambia kaangalie video labda kama uliiangalia kwa mihemko wale watu unawaona ni wachache? hebu wawekee na wengne ili watoe verdict yao utimu unatuharibu sana tupende kutia mioyo wasanii wetu wanapopiga hatua sio majungu hayatusaidii, unampiga majungu mtu ambaye anaweza akakuajiri au akailisha familia yako nzima.
Hebu tuwape support bana tuachane na majungu ya kike
 
Wahenga walisema "mbwa mzee hakubali mafunzo"... sasa linganisha mwenyewe kati ya kiba na chibu nani msemo huu unaapply!
 
ndo maana nikakuambia kaangalie video labda kama uliiangalia kwa mihemko wale watu unawaona ni wachache? hebu wawekee na wengne ili watoe verdict yao utimu unatuharibu sana tupende kutia mioyo wasanii wetu wanapopiga hatua sio majungu hayatusaidii, unampiga majungu mtu ambaye anaweza akakuajiri au akailisha familia yako nzima.
Hebu tuwape support bana tuachane na majungu ya kike
Wale watu in wachache sana tena kwa MTU alieshinda MTV EMA African act mbele ya wizkid
Wale watu hawajazidi 150 yaani kama shule wale ni form 1A na B
 
  • Thanks
Reactions: me1
amepiga picha wapi yupo dar anazurura kachukua picha walizoposy watu nae kaibuka nazo tena zile za mbele tu ya jukwaa tu
usilaumu mtoa mada ndugu mkwemwema ata acount ya ali kiba ya instra zipo picha hizo hizo hebu angalia plz
 
Alikiba kujilinganisha na Diamond ni upuuzi. Kama anataka kufika mbali ni vema akaachana na mawazo ya kushindana na Diamond. Huwezi ukajiita King, mfalme halafu idadi ya watu kwenye show yako ni ya kufedhehesha namna hii.
 
Ni aibu aiseee, na mpira wakawa wanaangalia hapo hapo
 
usilaumu mtoa mada ndugu mkwemwema ata acount ya ali kiba ya instra zipo picha hizo hizo hebu angalia plz

Post yangu ya kwanza nimemuambia hata yeye hizo picha kazitoa kwa Alikiba ndo kajanazo hapa lakini kuna video pia inaonyesha tukio mbona watu walikua wengi sana tuu ndo maana nikasema tatizo letu watanzania tumeweka ushabiki/utimu mbele kuliko kusupport wasanii wetu. Hawata fika popote bila kuwasupport ona Diamond kafanya collabo na Ne-Yo nyimbo nzuri tu lakini watu bado wanaponda, kafanya Tour yake ile ya Tandale to the World lakini watu bado waliponda alienda kuwaimbia watanzania alikopita unadhani kwakuwafanyia hivyo wasanii wetu watasonga mbele hata pale wanapofanya vizuri hatuonyeshi kuwakubali?
 
Jana nyota wa Tanzania na Mshindi wa MTV EMA african act 2016 Alikiba alianza world Tour yake kwa showJijini Durban South Africa.
Kiwango cha idadi ya watu waliojitokeza na ukumbi aliofanyia show inathibitisha kabisa mziki wa bongo flava bado unasafari ndefu kutoboa kimataifa hasa nje ya east africa
Collabo no njia mojawapo ya kutoa kwenye ngumu kama south africa na Nigeria japo Luna baadhi ya mashabiki wanazibeza.
Sasa kama Alikiba na ukubwa wake huo amepata idadi hiyo ya watu , billnass, baraka da price au timbulo atapata watu wangapi?
Wakati chipukizi wa Nigeria Tekno akija bongo ndo main Artist.
Jionee picha za jana jijini Durban
View attachment 471918
View attachment 471919
huyo diamond mwenyewe hawezi jaza hata watu 300..mara nyingi watu wanaoenda kwa show hizi ni watanzania,wakenya,waburundi,waganda( watu wanaoongea kiswahili tu)..mbona kawaida sana na mara nyingi wanafanyia clubs au ukumbi mdogo
to mi ni kajitahidi sana kupata watu 150 kama kweli walifika
 
Alifanya One man show?unasahau kua ni kama Davido aje Bongo apokelewe na mwenyeji Diamond wafanye show najua unajua kitatokea nini,Zimbabwe show ilikua ya yule Dj ambae amefanya nae ngoma nipe miujiza mingine chief...alafu angalia umetaja show mbili tu na zote zipo around na sisi ingawa sio ndani ya EA nenda kaangalie wenzetu kama Wizkid na Davido wakiwa nje uko,tatizo ni mashabiki sisi hatujawahi kuwaunga mkono wasanii wetu ili wasanii zaidi ya kelele za kibwege tu wakati wenzetu wanawabeba wasanii wao.
Acha, kupotosha ww mondi kaenda Malawi kajaza fukwe
Kaenda visiwa vile kajaza kaenda Zambia kajaza ww unakuja na ngojera zako hapa
 
Ali kiba ni mkubwa hapa Tanzania kwasababu ,haters wa Diamond ndio wanaompa ukubwa alionao hapa Tanzania..yaan Kiba anategemea haters wa mwenzake kutoboa..na ndio maana unaona show zake akitoka nje ya Tanzania na Kenya anakuwa msanii wa kawaida sana.
 
huyo diamond mwenyewe hawezi jaza hata watu 300..mara nyingi watu wanaoenda kwa show hizi ni watanzania,wakenya,waburundi,waganda( watu wanaoongea kiswahili tu)..mbona kawaida sana na mara nyingi wanafanyia clubs au ukumbi mdogo
to mi ni kajitahidi sana kupata watu 150 kama kweli walifika
Diamond hafanyi show za clan africa hii, alishazikataa kwa ukubwa wake wa sasa.
Kajipange upya
 
Post yangu ya kwanza nimemuambia hata yeye hizo picha kazitoa kwa Alikiba ndo kajanazo hapa lakini kuna video pia inaonyesha tukio mbona watu walikua wengi sana tuu ndo maana nikasema tatizo letu watanzania tumeweka ushabiki/utimu mbele kuliko kusupport wasanii wetu. Hawata fika popote bila kuwasupport ona Diamond kafanya collabo na Ne-Yo nyimbo nzuri tu lakini watu bado wanaponda, kafanya Tour yake ile ya Tandale to the World lakini watu bado waliponda alienda kuwaimbia watanzania alikopita unadhani kwakuwafanyia hivyo wasanii wetu watasonga mbele hata pale wanapofanya vizuri hatuonyeshi kuwakubali?
Watu wengi sana? Labda kwasababu ya tafsiri ya watu wengi inaanzia na watu 2
Uzuri video iko humu angalia vizuri weka mahaba pembeni.
 
Post yangu ya kwanza nimemuambia hata yeye hizo picha kazitoa kwa Alikiba ndo kajanazo hapa lakini kuna video pia inaonyesha tukio mbona watu walikua wengi sana tuu ndo maana nikasema tatizo letu watanzania tumeweka ushabiki/utimu mbele kuliko kusupport wasanii wetu. Hawata fika popote bila kuwasupport ona Diamond kafanya collabo na Ne-Yo nyimbo nzuri tu lakini watu bado wanaponda, kafanya Tour yake ile ya Tandale to the World lakini watu bado waliponda alienda kuwaimbia watanzania alikopita unadhani kwakuwafanyia hivyo wasanii wetu watasonga mbele hata pale wanapofanya vizuri hatuonyeshi kuwakubali?
Video imeshawekwa watu wengi wapi kama ni wengi basi maana ya wingi itakuwa kinyume
 
Back
Top Bottom