Jana nyota wa Tanzania na Mshindi wa MTV EMA african act 2016 Alikiba alianza world Tour yake kwa showJijini Durban South Africa.
Kiwango cha idadi ya watu waliojitokeza na ukumbi aliofanyia show inathibitisha kabisa mziki wa bongo flava bado unasafari ndefu kutoboa kimataifa hasa nje ya east africa
Collabo no njia mojawapo ya kutoa kwenye ngumu kama south africa na Nigeria japo Luna baadhi ya mashabiki wanazibeza.
Sasa kama Alikiba na ukubwa wake huo amepata idadi hiyo ya watu , billnass, baraka da price au timbulo atapata watu wangapi?
Wakati chipukizi wa Nigeria Tekno akija bongo ndo main Artist.
Jionee picha za jana jijini Durban
View attachment 471918
View attachment 471919