Show ya Alikiba South Africa, iwe funzo kwa wasanii wa Bongo fleva

Kwanini ukumbi uwe mdogo? Na huo ni ukumbi au Korido mbona naona Exit>
Hiyo alama ya Exit ni ya usalama endapo pakitokea shida... Hata kwenye parking za magari kuna exit...
 
Yeye show zake wanaingia wasouth tu hapo hakuna maroboti kutoka East Africa. Yooooooooooooooooooooooo
 
Duh hiyo video ndio watu wengi?nimeona mpaka Meneja wa Kiba kakaa upande wa washabiki akiongoza ushangiliaji..kwi kwi kwi.Tabu kweli!
 
Shida moja anajikubali sana, nimkubwa kwa bongo na kampala tu....ww mtu unaenda piga show south huna colabo za maana na wasanii wa south wakubwa...south ni taff game kule hajifunzi wanachofanya akina dai huyuu......kibaya zaidi ushabiki wa kibongo ndio unaomfanya awe mvivu
 
Natumaini kavuta mpunga mapema sio zile za kusubiria mapato ya ukumbini kwanza hehehehe.
 
amepiga picha wapi yupo dar anazurura kachukua picha walizoposy watu nae kaibuka nazo tena zile za mbele tu ya jukwaa tu
Hahaaa. Picha hizo si kapost mwenyewe? Kaangalie video pia kwa Millardayo
 
Ali kiba ni mkubwa hapa Tanzania kwasababu ,haters wa Diamond ndio wanaompa ukubwa alionao hapa Tanzania..yaan Kiba anategemea haters wa mwenzake kutoboa..na ndio maana unaona show zake akitoka nje ya Tanzania na Kenya anakuwa msanii wa kawaida sana.
nasemaga maahabiki wa kiba ni anti-diamond
ambao ndo hao hao msanii yoyote akiibuka wanamshabikia....ili kuleta ushindani na mond
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Mpira unavuta RAIA sema kuchanganya Mpira na show ya music in kukosa userious kwenye kazi
Mm nakuambia nipo kwenye ukumbi mtaani kwetu fulham tu ila ukumbi umejaa sana alafu kwamfano tecno aje apije show hapa hiv watakuwa mashabiki wa mpira au mziki kwasababu walijaa kabla ya tecno ajaja
 
Alikiba kujilinganisha na Diamond ni upuuzi. Kama anataka kufika mbali ni vema akaachana na mawazo ya kushindana na Diamond. Huwezi ukajiita King, mfalme halafu idadi ya watu kwenye show yako ni ya kufedhehesha namna hii.
Na mpira wana angalia pembeni...hatari
 
Hahaa muosha... tour njema[emoji23][emoji23] huu mchezo hauhitaji hasira mr kuvimba akifanya yake[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yooooooo Dada yangu niffah wallah naona kama amepotea
Uksapoti mtu ambae hajutambui utaumia mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…