Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaenea kadogo sana hako...Ukumbi mdogo? Apo ni nyuma ya clab tena hao in watanzania washio sauzi
ww unaona kuna ukweli hapoKivipi mkuu
Kumbe walijua uwezo wake ndo maana hawakuchukua ukumbi mkubwaKaenea kadogo sana hako...
Clab? Wasanii wa ukubwa wa alikiba au diamond kwa sasa sio wa kufanya show kwenye clan kwa hapa Africa ,Watanzania acheni kuwa viumbe msiopenda vya kwenu hata kufikia kutokufikirisha ubongo wenu kwa hapo mmeshindwa hata kujiuliza? Wasanii wangapi hapa kwetu huenda Clubs mbalimbali za mjini na ukienda Club lazima ujue ni mda gani alienda na pia je hio Club ni kubwa kiasi gani ?
Alafu akasemajeHizo picha nenda kwa alikiba amepost mwenyewe instagram na facebook
[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Naona unaleta ligi isio na tija , let's hoja ya kujenga