Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
Kwa ninachokiona hapa Escape 1,ni tofauti kabisa na kile kilichokuwa kinapewa promo na Clouds,kwamba hii ndio show kubwa ya kwanza 2018....mmmmmmhhhhhhhhh,jamani LIVE band itabaki kuwa ni ya Christian Bella tu hawa wengine wababaishaji,show imepoa sana hii na hawa watangulizi wanaoimba muda huu ambao bila shaka ndio watakuwa vocalist wa Aslay hamna kitu kabisaa kwa ufupi show hii imebuma mapema kabisa.
Mara mia ya show za coke studio..
Dj Sinyorita yupo? mwambie Chinga One wa jf amesema anitumie picha yake whatsappKwa ninachokiona hapa Escape 1,ni tofauti kabisa na kile kilichokuwa kinapewa promo na Clouds,kwamba hii ndio show kubwa ya kwanza 2018....mmmmmmhhhhhhhhh,jamani LIVE band itabaki kuwa ni ya Christian Bella tu hawa wengine wababaishaji,show imepoa sana hii na hawa watangulizi wanaoimba muda huu ambao bila shaka ndio watakuwa vocalist wa Aslay hamna kitu kabisaa kwa ufupi show hii imebuma mapema kabisa.
Mara mia ya show za coke studio..
Mkuu usisahau na kichwa chako pia ni kichafuMkuu huna na picha za nandy tusafishe macho kidogo
Sasa huyu anaingiaje hapa mkuu
Kakojoe ulale hizo Sera pelekea wajukuu zakoWameudharau wimbo wa taifa, watu hawapo serious kabisa mwengine wamekaa, mwengine kasimama kashika kidevu, wengine wanatabasam, wengine wametanua miguu, yaani kwa kifupi full dharau. Mimi nakumbuka nipo msingi Umoja jeshini yaani kitendo cha kusikia wimbo wa taifa unatakiwa usimame kiukakamavu hata kama umechelewa, jitie mjanja ukimbilie mstalini utachezea fimbo kwa walimu wote waliokuwa zamu na hata wanajeshi wakipita kuelekea kazini, wakisikia wimbo wa taifa lazima wasimame. Ila si shangai kadri siku zinavyoenda thamani ya huu wimbo unashuka, hasa ktk shule hizi za international mfano Atlas primary,iliyopo karibu na mabibo hostel hawaimbi kabisa ( nina mpwa wangu anasoma hajui wimbo wa taifa) , najua wanachukilia poa lkn ule wimbo unatakiwa uheshimiwe na Watanzania wote wa kila rika, kwani ni alama ya taifa letu.
Hizo ndio jezi mpya za Yanga[emoji12] [emoji12] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kuna dogo ataimba Secreto de armor.Hizo ndio jezi mpya za Yanga[emoji12] [emoji12] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Show Bila mabaunsa hamna usalamaSasa huyu anaingiaje hapa mkuu