Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
Kwa ninachokiona hapa Escape 1,ni tofauti kabisa na kile kilichokuwa kinapewa promo na Clouds,kwamba hii ndio show kubwa ya kwanza 2018....mmmmmmhhhhhhhhh,jamani LIVE band itabaki kuwa ni ya Christian Bella tu hawa wengine wababaishaji,show imepoa sana hii na hawa watangulizi wanaoimba muda huu ambao bila shaka ndio watakuwa vocalist wa Aslay hamna kitu kabisaa kwa ufupi show hii imebuma mapema kabisa.
Mara mia ya show za coke studio..
Mara mia ya show za coke studio..