Show ya Aslay na Nandy

Show ya Aslay na Nandy

images
 
Hata miss Tanzania watu wanalipia,na kwenye TV hurushwa live.Mambo mengine yaacheni bhana.Unaweza ukaoneka kituko,kupost upupu humu!
Hahahahaaaaaa asante jibu tosha pigia na mstari ila kwa upande wangu Nandy and aslay wamejitahidi mno and their still young they can do better than there. Ila Yule kiongozi wao wa mbagala cjui aliwaumiza mno ananenepa yy wenzie wanafanya kazi wanakonda tz hii?
 
Kweli sijaona mwanamziki wa kuimba live viwango vya Bella hakika
 
Cov
Haya maajabu, kwa mara ya kwanza kama sikosei Naona clouds wanafanya live coverage ya music shoow ambayo pipo wengine wamelipia...!!!
I stand to be corrected..!
We mtu we
 
Wameudharau wimbo wa taifa, watu hawapo serious kabisa mwengine wamekaa, mwengine kasimama kashika kidevu, wengine wanatabasam, wengine wametanua miguu, yaani kwa kifupi full dharau. Mimi nakumbuka nipo msingi Umoja jeshini yaani kitendo cha kusikia wimbo wa taifa unatakiwa usimame kiukakamavu hata kama umechelewa, jitie mjanja ukimbilie mstalini utachezea fimbo kwa walimu wote waliokuwa zamu na hata wanajeshi wakipita kuelekea kazini, wakisikia wimbo wa taifa lazima wasimame. Ila si shangai kadri siku zinavyoenda thamani ya huu wimbo unashuka, hasa ktk shule hizi za international mfano Atlas primary,iliyopo karibu na mabibo hostel hawaimbi kabisa ( nina mpwa wangu anasoma hajui wimbo wa taifa) , najua wanachukilia poa lkn ule wimbo unatakiwa uheshimiwe na Watanzania wote wa kila rika, kwani ni alama ya taifa letu.
Wengine wanabambiana kulirudi goma! Dah wabongo nawatema aisee...Wimbo wa taifa unapigwa mtu anabambia bambataa!
 
Clouds wajinga sana,yaani kwa sasa wapo tayari kupoteza hela yoyote kum-promote dogo aslay ili amfunike Mond....!! Yaani wanataka wakigombana na msanii yeyote kila mtu amchukie....!!!
Cloudd hawana tofauti na mange kimambi...anaemchukia yeye basi achukiwe na taifa zima.....maskini wa fikra
 
Kuna habari za chini kabisa kwamba eti ni promo za kumfanya aslay awe juu ili Diamond apotee
Mm co team mond ila itawachukua miaka mingi xn Aslay kumpiku Mond, kwakuwa wanalifanya suala hili kinafik na kwa kukurupuka na wala co kimkakati.
Pengne aslay kufika aliko mond, huenda mond akawa ameshaacha na muziki wenyewe anafanya issue zngne.
Clouds ni wabinafsi na wanaangalia maslah yao zaidi, hawawezi kumtoa mtu akafika kujitegemea level za mond, clouds wanyonyaji lazma watafika mahali wapate wivu wakorofishane na msanii hucka.
 
Back
Top Bottom