Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,153
- 10,670
ujinga busaraKuna habari za chini kabisa kwamba eti ni promo za kumfanya aslay awe juu ili Diamond apotee
Unakurupuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ujinga busaraKuna habari za chini kabisa kwamba eti ni promo za kumfanya aslay awe juu ili Diamond apotee
anatoa kete za dawa hapo
Hahahahaaaaaa asante jibu tosha pigia na mstari ila kwa upande wangu Nandy and aslay wamejitahidi mno and their still young they can do better than there. Ila Yule kiongozi wao wa mbagala cjui aliwaumiza mno ananenepa yy wenzie wanafanya kazi wanakonda tz hii?Hata miss Tanzania watu wanalipia,na kwenye TV hurushwa live.Mambo mengine yaacheni bhana.Unaweza ukaoneka kituko,kupost upupu humu!
We mtu weHaya maajabu, kwa mara ya kwanza kama sikosei Naona clouds wanafanya live coverage ya music shoow ambayo pipo wengine wamelipia...!!!
I stand to be corrected..!
ndonshida yetu wabongoNipo live [HASHTAG]#Escape1[/HASHTAG] now..
Napitia comments zenu naona zimejaa chuki Tu..
Mambo ya cybercrime hayo anazungukia uzi mtu asichafue hali ya hewa ukilianzisha tu ana lala mbele na wewe!Sasa huyu anaingiaje hapa mkuu
Daah watu tuko tofauti sana kujua wimbo wa taifa ni sera za kizee Lord have mercyKakojoe ulale hizo Sera pelekea wajukuu zako
Wengine wanabambiana kulirudi goma! Dah wabongo nawatema aisee...Wimbo wa taifa unapigwa mtu anabambia bambataa!Wameudharau wimbo wa taifa, watu hawapo serious kabisa mwengine wamekaa, mwengine kasimama kashika kidevu, wengine wanatabasam, wengine wametanua miguu, yaani kwa kifupi full dharau. Mimi nakumbuka nipo msingi Umoja jeshini yaani kitendo cha kusikia wimbo wa taifa unatakiwa usimame kiukakamavu hata kama umechelewa, jitie mjanja ukimbilie mstalini utachezea fimbo kwa walimu wote waliokuwa zamu na hata wanajeshi wakipita kuelekea kazini, wakisikia wimbo wa taifa lazima wasimame. Ila si shangai kadri siku zinavyoenda thamani ya huu wimbo unashuka, hasa ktk shule hizi za international mfano Atlas primary,iliyopo karibu na mabibo hostel hawaimbi kabisa ( nina mpwa wangu anasoma hajui wimbo wa taifa) , najua wanachukilia poa lkn ule wimbo unatakiwa uheshimiwe na Watanzania wote wa kila rika, kwani ni alama ya taifa letu.
Cloudd hawana tofauti na mange kimambi...anaemchukia yeye basi achukiwe na taifa zima.....maskini wa fikraClouds wajinga sana,yaani kwa sasa wapo tayari kupoteza hela yoyote kum-promote dogo aslay ili amfunike Mond....!! Yaani wanataka wakigombana na msanii yeyote kila mtu amchukie....!!!
Mm co team mond ila itawachukua miaka mingi xn Aslay kumpiku Mond, kwakuwa wanalifanya suala hili kinafik na kwa kukurupuka na wala co kimkakati.Kuna habari za chini kabisa kwamba eti ni promo za kumfanya aslay awe juu ili Diamond apotee