Tusirithishane maadui, kila mtu apambane na adui yake[emoji57]Clouds wajinga sana,yaani kwa sasa wapo tayari kupoteza hela yoyote kum-promote dogo aslay ili amfunike Mond....!! Yaani wanataka wakigombana na msanii yeyote kila mtu amchukie....!!!
Aanze kumla wema tu atakuwa juuKuna habari za chini kabisa kwamba eti ni promo za kumfanya aslay awe juu ili Diamond apotee
pambana tu na hali yako Mkuu, wabongo ndio tulivo..ndonshida yetu wabongo
itakua amevunja mlango kwa kutumia hilo runguSasa huyu anaingiaje hapa mkuu
Joseph umemaliza Umoja primary mwaka gani?Wameudharau wimbo wa taifa, watu hawapo serious kabisa mwengine wamekaa, mwengine kasimama kashika kidevu, wengine wanatabasam, wengine wametanua miguu, yaani kwa kifupi full dharau. Mimi nakumbuka nipo msingi Umoja jeshini yaani kitendo cha kusikia wimbo wa taifa unatakiwa usimame kiukakamavu hata kama umechelewa, jitie mjanja ukimbilie mstalini utachezea fimbo kwa walimu wote waliokuwa zamu na hata wanajeshi wakipita kuelekea kazini, wakisikia wimbo wa taifa lazima wasimame. Ila si shangai kadri siku zinavyoenda thamani ya huu wimbo unashuka, hasa ktk shule hizi za international mfano Atlas primary,iliyopo karibu na mabibo hostel hawaimbi kabisa ( nina mpwa wangu anasoma hajui wimbo wa taifa) , najua wanachukilia poa lkn ule wimbo unatakiwa uheshimiwe na Watanzania wote wa kila rika, kwani ni alama ya taifa letu.
Bella yule hatare sijaona wa kumfikia ngoja tuone ujio wa papi kochaKweli sijaona mwanamziki wa kuimba live viwango vya Bella hakika
2002Joseph umemaliza Umoja primary mwaka gani?
Kumbe Mdogo wangu sana nimemaliza hapo 19962002
andaa yako afu ichangamshe....siyo kila mtu anapenda mamiziki yenu ya makelele...siyo kila unachopenda ww ndo watu wengine wanapenda NA NDO MANA MPENZI WAKO WENGINE NI SHEMEJI YAO COZ UMEMPENDA WW NA SI WAO.Kwa ninachokiona hapa Escape 1,ni tofauti kabisa na kile kilichokuwa kinapewa promo na Clouds,kwamba hii ndio show kubwa ya kwanza 2018....mmmmmmhhhhhhhhh,jamani LIVE band itabaki kuwa ni ya Christian Bella tu hawa wengine wababaishaji,show imepoa sana hii na hawa watangulizi wanaoimba muda huu ambao bila shaka ndio watakuwa vocalist wa Aslay hamna kitu kabisaa kwa ufupi show hii imebuma mapema kabisa.
Mara mia ya show za coke studio..
Hahahhaahahahaha aslay awe sawa na diamond daahhKuna habari za chini kabisa kwamba eti ni promo za kumfanya aslay awe juu ili Diamond apotee
kwani aliyebeba sanduku la kura pale kinondoni aliingiajeSasa huyu anaingiaje hapa mkuu