Show ya Diamond Mbeya, kiingilio Tshs 100,000

Live band ndio mpango mzima,hii mambo ya kwenye shoo za pesa nyingi km hiyo halafu mara unaambiwa upige kelele km kichaa au ufanye mazoezi ya kunyoosha mikono hewani km unaita mvua siwezi,live band unakaa chini umetulia unapata burudani
Yaani et utoe laki moja afu inapigwa play back MTU kashika mike tu kuzugia yaani hapo Dj akizima mziki gafra hiyo sauti itayotoka utaomba urudishiwe hela dadeki,
 
Mbona imeandikwa kabisa 15000 entry na laki moja kwa wapenda sifa VIP
 
Labda christian bella naeza toa hyo pesa maanake yule ndo fundi kwelikweli alafu pia lazima mmanyema dimpoz na king kiba wawepo
 
nilipoona kuna Roma Mkatoriki.. Laki yangu naitoa bila kinyongo lakini sio hao wengine uchwaraaaa
 
hahahahah kwa wanyakyusa walivo wachumi bs hapo sidhani, ila labda wamevuna tayr mpunga yawezekana wakajipga pga
 
hahahahah kwa wanyakyusa walivo wachumi bs hapo sidhani, ila labda wamevuna tayr mpunga yawezekana wakajipga pga
Lakini utashangaa watu watakavyojaa hadi itatia hasira kwa wale wasiompenda Diamond
 
100,000 au 10,000!!!!!!?? akizidi watu 10
Watu watajaa sana hadi wasiompenda Diamond washangae,ngoja tusubiri matokeo baadae ya show,huyo jamaa ni shida,nilihudhuria show yake moja hapa Dodoma,hali ilikua tete kabisa,ni wa kimataifa huyo jamaa
 
Kwani yupo peke yake inaaamana hao wengine huwaoni umemuona yeye kwa vile ana domo kubwa sio
 
ngoja apate pesa ya ukopera atatia adabu
 
Wakati mkiendelea kutokwa na mapovu chukueni haya.

1.Yeye keshalipwa 80% ya hii shoo na iliyobaki anamaliziwa akitaka kupanda tu stejini.

2.Hivi sasa hivi mnapotokwa na mapovu tiketi za 15,000/ zimeisha.

3. Kinachofanyika ni uzinduzi na si lazima kujaza,japo hadi sasa kwa tiketi zilizouzwa kumeshajaa.

4.Wasanii karibia wote duniani wanaimba kwa stairi 2.
@ Playback ------- bei yake ni nafuu.
(b) Liveband ---------- malipo ni makubwa.
Kunawasanii wenyewe kuimba liveband ni nafuu mno,lakini si kwa DIAMOND.


Kwa wale wanaojitoa fahamu makusudi mimi nipo kwaajili ya kuwarudishia kilazima
hizi hapa playback.



Alikiba huyo hata wacheza shoo hana hapo,ndani ya playback.


Nelly huyo yuko na playback.

Huyu hapa DIAMOND na live band ndani ya rwanda.




Hizi ni baadhi tu ya picha,haya endeleeni KUTOKWA NA MAPOVU MAANA NDICHO KITU PEKEE MNACHOWEZA KUFANYA KAMA NI MUZIKI HAMUWEZI KUMRUDISHA NYUMA, HAKUNA WA KUMFIKIA YEYE KWA HALI ZOTE KWA WASANII WABONGO. MAANA MMEMSHINDANISHA WEEEE HADI MMECHOKA NA MUMESHAJUA HAWEZEKANI.
 
Anakuja kuwapigia mabinti zenu.


TRA mchukue VAT kwa kila ticket
 
Mziki upi wa laki moja, watanzania bwana. Diamond anapiga muziki gani wa hivyo! Sawa na yale malapulapu yaliyowekwa humu eti ni nguo za design watu wananunua
dudubaya alishakuja kyela ku`perfom wadau wakamshusha jukwaani,wakamwambia hana wimbo wa kuimba walitaka tu wamuone,siku hiyo lipigwe disco tu,diamond nae hakawii kushushwa...teh!
 
Hakuna lisilowezekana kwa Diamond Platinumz. Huyu dogo ni blessed jamani.. Nategemea kusikia milango imefungwa sababu ya ukumbi kujaa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…