RGforever
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 6,878
- 5,432
Hahahaahaaha WATANZANIA bhanaBora wewe Mimi hata iwe bure na unipe milioni siendi
Hana jipya icho kiingilio cha laki si bora nikaitupe chooni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaahaaha WATANZANIA bhanaBora wewe Mimi hata iwe bure na unipe milioni siendi
Hana jipya icho kiingilio cha laki si bora nikaitupe chooni
Yaani et utoe laki moja afu inapigwa play back MTU kashika mike tu kuzugia yaani hapo Dj akizima mziki gafra hiyo sauti itayotoka utaomba urudishiwe hela dadeki,Live band ndio mpango mzima,hii mambo ya kwenye shoo za pesa nyingi km hiyo halafu mara unaambiwa upige kelele km kichaa au ufanye mazoezi ya kunyoosha mikono hewani km unaita mvua siwezi,live band unakaa chini umetulia unapata burudani
Mkono umeshika mike mwingine unazuia suruali isidondokeYaani et utoe laki moja afu inapigwa play back MTU kashika mike tu kuzugia yaani hapo Dj akizima mziki gafra hiyo sauti itayotoka utaomba urudishiwe hela dadeki,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkono umeshika mike mwingine unazuia suruali isidondoke
Lakini utashangaa watu watakavyojaa hadi itatia hasira kwa wale wasiompenda Diamondhahahahah kwa wanyakyusa walivo wachumi bs hapo sidhani, ila labda wamevuna tayr mpunga yawezekana wakajipga pga
Watu watajaa sana hadi wasiompenda Diamond washangae,ngoja tusubiri matokeo baadae ya show,huyo jamaa ni shida,nilihudhuria show yake moja hapa Dodoma,hali ilikua tete kabisa,ni wa kimataifa huyo jamaa100,000 au 10,000!!!!!!?? akizidi watu 10
Wangeshusha kidogo kwenye Elfu 5 hivi..ndio watu wange jaa jaa...
dudubaya alishakuja kyela ku`perfom wadau wakamshusha jukwaani,wakamwambia hana wimbo wa kuimba walitaka tu wamuone,siku hiyo lipigwe disco tu,diamond nae hakawii kushushwa...teh!Mziki upi wa laki moja, watanzania bwana. Diamond anapiga muziki gani wa hivyo! Sawa na yale malapulapu yaliyowekwa humu eti ni nguo za design watu wananunua
hata bure siendiMusic wa diamond hata 10,000 siingii.
Mmeisahau wakati umesema ni mpya?Hivi ile collabo na p square imeshatoka au bado? Ile mpya aliyofanya na mafikizolo naona tumeshaisahau kabisaa...