Show ya Diamond Mbeya, kiingilio Tshs 100,000

Kwani yupo peke yake inaaamana hao wengine huwaoni umemuona yeye kwa vile ana domo kubwa sio
Kwan picha kubwa ya msanii gan ivi zile kofia za kibakuli anaziuza kariakoo nataka nimchangie hapate ela ya kujenga nyumba npo location zinapo patikana
 
Unaweza hata ukalipiwa hata usitamani kuingia kwa kuiwaza kesho. Wengine watakulipia sifa iwe sawa sawa na wenye kukununulia pombe nyingi unywe mpk ufe ila usichukue bia hata moja kuenda nayo nyumbani.
 
Watu watajaa sana hadi wasiompenda Diamond washangae,ngoja tusubiri matokeo baadae ya show,huyo jamaa ni shida,nilihudhuria show yake moja hapa Dodoma,hali ilikua tete kabisa,ni wa kimataifa huyo jamaa

Kwani yupo peke yake inaaamana hao wengine huwaoni umemuona yeye kwa vile ana domo kubwa sio

Anakuja kuwapigia mabinti zenu.

TRA mchukue VAT kwa kila ticket

dudubaya alishakuja kyela ku`perfom wadau wakamshusha jukwaani,wakamwambia hana wimbo wa kuimba walitaka tu wamuone,siku hiyo lipigwe disco tu,diamond nae hakawii kushushwa...teh!

Mapovu tu.... Mtaelewa tu... Pimbi nyie.

Hakuna lisilowezekana kwa Diamond Platinumz. Huyu dogo ni blessed jamani.. Nategemea kusikia milango imefungwa sababu ya ukumbi kujaa sana.

hata bure siendi

Wajinga ndio waliowao

Kwan picha kubwa ya msanii gan ivi zile kofia za kibakuli anaziuza kariakoo nataka nimchangie hapate ela ya kujenga nyumba npo location zinapo patikana

Unaweza hata ukalipiwa hata usitamani kuingia kwa kuiwaza kesho. Wengine watakulipia sifa iwe sawa sawa na wenye kukununulia pombe nyingi unywe mpk ufe ila usichukue bia hata moja kuenda nayo nyumbani.

Ndumba za bimkubwa wake zinafanya kazi vzr ngoja ndumba ziishe kama hamjachangishana ela ya kumpeleka India kwenye matibabu
 
Ndumba za bimkubwa wake zinafanya kazi vzr ngoja ndumba ziishe kama hamjachangishana ela ya kumpeleka India kwenye matibabu
Washirikina buana,eh!
Hayo manyanga mnapigia wapi na mshirika wako mama chibu?!?!?
 
Kwani alikuwa mwenyewe hilo ndo swali samsun
Pwilo soma kichwa cha hii habari (bila unafki kimeandikwaje) kisha niambie umewauliza wangapi huko mwanzo wa hii thead kuwa hayuko mwenyewe kama wachangiaji walivyochangia .........(itakuwa vizuri ukiniambia komenti zako zilikuwa no ngapi na ngapi huko juu,ili nisikuone mnafki) Tatu kwani angekuwa mwenyewe asingejaza ???
 
Unatoka povu lote hilo haha dah
Tatizo umechokoza vita na mtu aliyetayari kufa, ila alikuwa anatafuta chanzo. UACHE UNAFKI,MUKIJITOA AKILI MIMI NIPO NINAWARUDISHIA KILAZIMA.
 
artwork mbovu haiendani na entry fee;tujifunze kuinvest kwa proffesional people for specific task,sio ukanjanja
 
Kwani yupo peke yake inaaamana hao wengine huwaoni umemuona yeye kwa vile ana domo kubwa sio

We jamaa mkuda kweli, huyu mjomba sijui kakukosea nini mpaka unamchukia hivi.
 
We jamaa mkuda kweli, huyu mjomba sijui kakukosea nini mpaka unamchukia hivi.
Mi namchukia kivipi sasa huo si ukweli au we unataka ulete mambo ambayo ni ya kijinga sasa au we we ni mwanaume wa dar?
 
Kama huna laki tulia nyumbani, hujui huyo ni international star?huku dar anaishi madale lakini kuonana nae hadi 50,000/= initoke..wewe wa kyela ulitakiwa utoe hata laki 2
hhhhahhhhaaaaaa!!aiseee!nyie watu haya maneno mnayatoa wapi?!
 
Watu wamevuna mpunga ngoja awasambazie ngololo,.,.,.., kwann isingefanyika ikungi au itigi
 
Aisee nasikia Le Mutuz alikuwepo. Ilibidi waletwe FFU wa ziada kuwazuia raia wanaotaka kumuona wengine kupiga nae picha. Ilikuwa kazi kubwa kumtoa hotelini kumpeleka kwenye kituo cha bodaboda, watu wa Kyela wamesahau kama show ni ya Diamond baada ya kumuona Le Mutuz Nation.
 
[emoji23] [emoji23] eti kituo cha boda boda.

So Le Mutuz awa kivutio cha show.
 
Wewe ni Zari the bosslady?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…