Wakati mkiendelea kutokwa na mapovu chukueni haya.
1.Yeye keshalipwa 80% ya hii shoo na iliyobaki anamaliziwa akitaka kupanda tu stejini.
2.Hivi sasa hivi mnapotokwa na mapovu tiketi za 15,000/ zimeisha.
3. Kinachofanyika ni uzinduzi na si lazima kujaza,japo hadi sasa kwa tiketi zilizouzwa kumeshajaa.
4.Wasanii karibia wote duniani wanaimba kwa stairi 2.
@ Playback ------- bei yake ni nafuu.
(b) Liveband ---------- malipo ni makubwa.
Kunawasanii wenyewe kuimba liveband ni nafuu mno,lakini si kwa DIAMOND.
Kwa wale
wanaojitoa fahamu makusudi mimi nipo kwaajili ya
kuwarudishia kilazima
hizi hapa playback.
Alikiba huyo hata wacheza shoo hana hapo,ndani ya playback.
Nelly huyo yuko na playback.
Huyu hapa DIAMOND na live band ndani ya rwanda.
Hizi ni baadhi tu ya picha,
haya endeleeni KUTOKWA NA MAPOVU MAANA NDICHO KITU PEKEE MNACHOWEZA KUFANYA KAMA NI MUZIKI HAMUWEZI KUMRUDISHA NYUMA, HAKUNA WA KUMFIKIA YEYE KWA HALI ZOTE KWA WASANII WABONGO. MAANA MMEMSHINDANISHA WEEEE HADI MMECHOKA NA MUMESHAJUA HAWEZEKANI.