Show ya Diamond Mbeya, kiingilio Tshs 100,000

Show ya Diamond Mbeya, kiingilio Tshs 100,000

labda ana mpya' ilaa laki akat mia 2 ya choon wapewa risit ni upuuz......! nikilima viaz nakua mtu mjin
 
mbona mnaponda sana dogo lazima ajaze kipindi cha mavuno hichi kule mjini mbeya atapigw mawe si alizarau
 
NIko Kyela hapa nimeona matangazo ya Show ya diamond kesho IDD pili kwenye ukumbi wa Mwamunyange kilichonishangaza kiingilio tsh 100,000(laki moja).
Hivi kweli huku wilayani Kyela kuna watu wakutoa laki moja kweli bora ingekuwa Mbeya Mjini hapo ningeelewa.
ID yako inajieleza
 
Bora wewe Mimi hata iwe bure na unipe milioni siendi

Hana jipya icho kiingilio cha laki si bora nikaitupe chooni
Mkuu hata kale ka-huruma 5000 huwezi kumchangia?
 
Mziki upi wa laki moja, watanzania bwana. Diamond anapiga muziki gani wa hivyo! Sawa na yale malapulapu yaliyowekwa humu eti ni nguo za design watu wananunua
hahahahahahahhahahahahahah, mkuu umeniua sanaaa...Hebu nione hayo malapulapu basi plsss!!!
 
Kama huna laki tulia nyumbani, hujui huyo ni international star?huku dar anaishi madale lakini kuonana nae hadi 50,000/= initoke..wewe wa kyela ulitakiwa utoe hata laki 2
Umetishaa duh si kwa jibu hilo
 
Back
Top Bottom