Mbulu
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 5,620
- 5,515
Trey song,chris brown.....Hivi ile collabo na p square imeshatoka au bado? Ile mpya aliyofanya na mafikizolo naona tumeshaisahau kabisaa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Trey song,chris brown.....Hivi ile collabo na p square imeshatoka au bado? Ile mpya aliyofanya na mafikizolo naona tumeshaisahau kabisaa...
Music wa diamond hata 10,000 siingii.
100,000 au 10,000!!!!!!?? akizidi watu 10
Me hata bureMusic wa diamond hata 10,000 siingii.
teh teh teh... wanyaki wabahili ehhee?Hakuna mnyakyusaaa wa kutoa 100,000/= Kwajiri ya show
Usihofu mkuu risiti zitatolewa za EFD...TRA MBEYA IWE KARIBU HAPO KUKUSANYA CHAKE BANA....
ID yako inajielezaNIko Kyela hapa nimeona matangazo ya Show ya diamond kesho IDD pili kwenye ukumbi wa Mwamunyange kilichonishangaza kiingilio tsh 100,000(laki moja).
Hivi kweli huku wilayani Kyela kuna watu wakutoa laki moja kweli bora ingekuwa Mbeya Mjini hapo ningeelewa.
Mkuu hata kale ka-huruma 5000 huwezi kumchangia?Bora wewe Mimi hata iwe bure na unipe milioni siendi
Hana jipya icho kiingilio cha laki si bora nikaitupe chooni
Hiyo bei ya sikindeWangeshusha kidogo kwenye Elfu 5 hivi..ndio watu wange jaa jaa...
Mkuu hata kale ka-huruma 5000 huwezi kumchangia?
hahahahahahahhahahahahahah, mkuu umeniua sanaaa...Hebu nione hayo malapulapu basi plsss!!!Mziki upi wa laki moja, watanzania bwana. Diamond anapiga muziki gani wa hivyo! Sawa na yale malapulapu yaliyowekwa humu eti ni nguo za design watu wananunua
Umetishaa duh si kwa jibu hiloKama huna laki tulia nyumbani, hujui huyo ni international star?huku dar anaishi madale lakini kuonana nae hadi 50,000/= initoke..wewe wa kyela ulitakiwa utoe hata laki 2
Usitoke mapovu mkuu, ya diamond sihesabii kama starehe.na kesho mlete mrejesho nyomi la hapo ,, paka shume nyie msiyejua starehe
Aliyekuambia kyela wanaishi wanyaki pekee ni nani?teh teh teh... wanyaki wabahili ehhee?