BIG BROTHER ALEX
JF-Expert Member
- Sep 24, 2025
- 1,293
- 2,265
Katika Hali ya kushangaza watu wamejiuliza hivi wanigeria nao wamesusa? Ukitoa waandishi wa habari, na familia ya mke wa jux uwanja unabaki holaaa Yani unaweza hata wahesabu, na ukagawa chai na vitumbua vinne na bado ukarudi navo.
Muheshimiwa waziri na msemaji wetu girishoni tunaomba show zijazo za nigeria tubebe mashabiki wa Simba na yanga wakajaxe viwanja kama TULIVO kubaliana kuwalipa WASANIIana sio kwa Hilo dolo.
Ila WABONGO sio watu wazuri, Yani unakata tiketi ya ndege, unafikia hoteli Nigeria kwa kazi maalumu kuangalia kama show itajaza au patupu kibaya show ika buma raia zimegoma alafu mwamba akapiga picha Kila angle ili zisianze zile za walikua upande wa KULE we ukapiga back stage mamamaeeeeeeeee
CHANZO INSTAGRAM, @ BARAKA da silver, video Iko hapo kwa wale watoingia ukisearch unaipna IPO mwanzo KABISA zipo kama mbili hivi.NAOMBA MCHUKUE HIYO VIDEO MTULETEE HAPA MI NIMEJARIBU NMESHINDWA WAKUU SAMAHAN SANA KWA FAIDA YA MEMBER IHAMISHIENI HAPA