Tetesi: Show ya Diamond na Jux Nigeria imebuma, spana na utu, spana ziendelee

Katika Hali ya kushangaza watu wamejiuliza hivi wanigeria nao wamesusa? Ukitoa waandishi wa habari, na familia ya mke wa jux uwanja unabaki holaaa Yani unaweza hata wahesabu, na ukagawa chai na vitumbua vinne na bado ukarudi navo.

Muheshimiwa waziri na msemaji wetu girishoni tunaomba show zijazo za nigeria tubebe mashabiki wa Simba na yanga wakajaxe viwanja kama TULIVO kubaliana kuwalipa WASANIIana sio kwa Hilo dolo.

Ila WABONGO sio watu wazuri, Yani unakata tiketi ya ndege, unafikia hoteli Nigeria kwa kazi maalumu kuangalia kama show itajaza au patupu kibaya show ika buma raia zimegoma alafu mwamba akapiga picha Kila angle ili zisianze zile za walikua upande wa KULE we ukapiga back stage mamamaeeeeeeeee

CHANZO INSTAGRAM, @ BARAKA da silver, video Iko hapo kwa wale watoingia ukisearch unaipna IPO mwanzo KABISA zipo kama mbili hivi.NAOMBA MCHUKUE HIYO VIDEO MTULETEE HAPA MI NIMEJARIBU NMESHINDWA WAKUU SAMAHAN SANA KWA FAIDA YA MEMBER IHAMISHIENI HAPA
Na bado.
 
Jux music hauwezi na nyimbo nyingi alibebwa na vanessa mdee na penzi lao kizungumkuti sasa saiv kakwama kwa mnaijeria na kule wamedanganya ni msanii mkubwa Tanzania kumzidi chai jaba,itabidi ajikaze tu kisha aibukie kwenye biashara
Hana kichwa Cha biashara huyo, ana lazimisha TU BIASHARA haimtaki
 
Chai hii nendeni Instagram mkajionee
Ifike mahali tuwe wakweli.... Hizi propaganda hazitufikishi popote kumuonea wivu mwanaume mwenzio ni ushamba... Susa wewe huna haja ya kushawishi wengine.
Hali halisi achaneni na huyu chawa
 
Huna ujualo tuuloze sisi tulioko kwenye industry kabla hata huja Anza kujanjaruka, enzi hizo Sina Imani kama hata redio TU ulikua unamiliki, hao wanakopa MAMILIONI sisi tunajia tupo nao we kajinyea kaa kule
Unatokea pori gani ?
Unateseka na watu ambapo hata akiamka, anakuta miamala imeingia bila hata ya kufanya show, wewe kweli mshamba wa vijijini
 
Sasa kama show Zina walipa mbona waliomba serikali iwe inawakopesha pesa kutoka kwenye Kodi za walala hoi? Si wanajiweza? Ukisikia kikwete akikili mwenyewe diamond alienda kumkopa pesa? Sasa msanii MKUBWA unaenda kukopa hela, ndo sababu hata raia wakikandamizwa hawasemi mana wanajua wao wanavozipata kutoka kwa waheshimiwa
 
Huna akili,

Alfu kumbe ni la septembe, 2025

Takataka
Umeona ulivo zumbukuku, Nisha kwambia nenda kwa MKUBWA fela ukamkatikie eti nawewe una demu, hata demu wako akisoma hapa atashanga jianaume una mpampatikia dume mwenzako ili upate chochote, mtafute anko t ujibizqne NAE mi si mchamba wima mwenzio
 
DIAMOND KAFIKA HAPO KWA JUHUDI ZAKE NWWNYEWE KAMA KWELI GEN Z WANA NGUVU WAMSAPOTI ROMA MKATOLIKI ILI AWE MKUBWA KAMA DIAMOND
 
Unamjua diamond wewe? Hujui unacho kuongea tuuulize sisi tulioko kwenye industry tukujuze, eti Roma awe kama MONDI Roma ni mwana hip-hop, mond mbana pua mashabiki wengi tz ni mziki wa wabana pua, mkuu mond hapo alipo fika ni vijana ndo wamemsapoti show alozo piga miaka hiyo anaanza vijana ndo walioingia kwenye show kupiga nyimbo zake nk, kusema hivo ni kukosa fadhila bila shaka wewe ni mzee, amini nakwambia vijana wanamchango mkubwa kwenye industry ndo mana unaona hadi viongozi wameingilia kati we unasema nini
 
HAKUNA MTU ANASAIDIWA HAPA DUNIANI ILI AWE MKUBWA NYIE MLIMPA SAPOTI NA SIO KUMSAIDIA

MIMI HOV NAMJUA DIAMOND KWA UKARIBU TANGU YUPO KARUME ANAUZA MITUMBA , SO KIJANA KAFANIKIWA KWA JUHUDI ZAKE MWENYEWE NA SIO KUWA KABEBWA
 
Kujipemdekeza daaah, nmekusoma Sasa, tangu anauza mitumba?
 
Ushazoea kuingiziwa miti basi unapapariki kila mtu JF haina watu hao.
 
Katika Hali ya kushangaza watu wamejiuliza hivi wanigeria nao wamesusa? Ukitoa waandishi wa habari, na familia ya mke wa jux uwanja unabaki holaaa Yani unaweza hata wahesabu, na ukagawa chai na vitumbua vinne na bado ukarudi navo.

Muheshimiwa waziri na msemaji wetu girishoni tunaomba show zijazo za nigeria tubebe mashabiki wa Simba na yanga wakajaxe viwanja kama TULIVO kubaliana kuwalipa WASANIIana sio kwa Hilo dolo.

Ila WABONGO sio watu wazuri, Yani unakata tiketi ya ndege, unafikia hoteli Nigeria kwa kazi maalumu kuangalia kama show itajaza au patupu kibaya show ika buma raia zimegoma alafu mwamba akapiga picha Kila angle ili zisianze zile za walikua upande wa KULE we ukapiga back stage mamamaeeeeeeeee

CHANZO INSTAGRAM, @ BARAKA da silver, video Iko hapo kwa wale watoingia ukisearch unaipna IPO mwanzo KABISA zipo kama mbili hivi.NAOMBA MCHUKUE HIYO VIDEO MTULETEE HAPA MI NIMEJARIBU NMESHINDWA WAKUU SAMAHAN SANA KWA FAIDA YA MEMBER IHAMISHIENI HAPA
ALWAYS QUALITY BEATS QUANTITY
 
Majibu yako

View: https://youtu.be/jXusQuWkLIE
 
Back
Top Bottom