Tetesi: Show ya Diamond na Jux Nigeria imebuma, spana na utu, spana ziendelee

Jux sijui alikosa wapi balaa limeanzia dukani kuchukuliwa nguo zake za ofisini siku ya maandamano,nyimbo katoa ikabuma you tube akaifuta, show nayo imebumaa, halafu wanigeria wa mtandaoni na field ni mbingu na ardhi, ukiwakuta mtandaoni kelele kumjaza jamaa kwenye show sijui walipata dharura wote, daah.
 
WAKUU MSICHEKE SIO VIZURI, MI NAJIULIZA HILO JUKWA LILIVO KUBWA NA HIZO NAKSHI MASIKINI HIVI GHARAMA ZIMERUDI KWELI? WENYE NAMBA ZAKE TUKAMFARIJI ASIJE AKAKATA TAMAAA AKAJINYONGA, MASIKINI HADI HURUMA IMEANZA NIINGIA
 
Mama diamond alisema mwanae hategemei show za ndani, tumuite insta akaangalie show za nje anavo jaza🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣, halafu walio udhuria show wameni shangaza wengine miguu Ina vumbi, wengine nguo hazieleweki, nikajisemea sio fungulia dog hii, baada ya kuona empty likafinguliwa la manyani kuficha aibu🫵🫵🫵🫵🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ukisikia kimavi ndo iko sasa
 
Ukisikia kimavi ndo iko sasa
BADO NAJIULIZA KUHUSU WANIGERIA SIPATI JIBU, HIVI WALE WANAO PIGA KELELE MTANDAONI JUX JUX NI WANIGERIA WA WAPI? MONDI NDANI SIJUI WASANII WAPALE NIGERIA WENYE MAJINA NDANI ALAFU NDIO DOLO LA HIVYOOOOO, HUU MWEZI WA KUMI NA MBILI SHULE ZIMEFUNGWA WATU WAKO LIKIZO WANATAKA BURUDANI CHA KUSHANGAZA WAMEPELEKEWA BURUDANI WAMEIKATAAAAAAAAA
 
Safi sana ,Msimu huu wa sikukuu hakuna kuhudhuria show yeyote ya msanii wa mbogamboga.
 
Ifike mahali tuwe wakweli.... Hizi propaganda hazitufikishi popote kumuonea wivu mwanaume mwenzio ni ushamba... Susa wewe huna haja ya kushawishi wengine.
 

Attachments

  • Screenshot_2025-12-21-05-08-12-003_com.google.android.youtube-edit.jpg
    130.3 KB · Views: 25
  • Screenshot_2025-12-21-05-07-01-057_com.google.android.youtube-edit.jpg
    121.1 KB · Views: 27
Mbona kama una chuki binafsi na jamaa
 
Hawa wasanii tatizo hawana akili ya kusoma nyakati, hawa sense danger kwenye sanaa zao kuangalia mashabiki wao wanataka nini. Siasa zitawamaliza kenge hao, hawakupaswa kujiingiza kwenye majukwa ya kampeni za chama tawala kwa kuwa chama hicho hakiungwi mkono na vijana wengi wanaotaka mabadiliko ya kisiasa nchini. Wajuba wakaingia kukipigia kampeni na matokeo yake vijana wakaona wale huko huko walikofanyia kampeni, wakasusia show zao. Hata kama walilipwa kukampenia, hawakupaswa kupanda majukwa ya chama hicho kwa kuwa vijana wengi hawakitaki
 
Nyie watoto acha uongo! Ilifana sana

Check out this video, "diamond show nigeria"
https://share.google/SnYZjqM03I1hzrK5b
 
Acha unafiki boss. Vijana wamefanya kazi nzuri na malipo Yao ni makubwa sana si chini ya ,200 M . Chuki ya Nini acha wajitafutie fedha Yao ya halali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…