Tetesi: Show ya Diamond na Jux Nigeria imebuma, spana na utu, spana ziendelee

Uzi bila picha ni Sawa na wali Bila maharage
Kaka nenda Instagram kacheki video zote za show mara ya kwanza walipost hizo picha alizi post huyu jamaa hapo juu watu wakakausha sijui wao kwa wao wakazungukana ikawekwa video Sasa hapo ndo Instagram ikaxhafuka moshi mweusi ukawa mweupe
 
Inaonekana safari hii CCM waliwamwagia pesa ndefu. Mpaka AY ambae kidogo alikua anaheshimika kama legend, nae akaamua kujivua nguo.
 
Jipige madole ulale basi.. huyo kumadiamond unamkubari wewe na mama yako tu wengine washavunga hawataki shobo..
Umefurahi kutoa hayo matusi. Kama imekupa faraja, Hongera . Ila acha uongo na ukibonyeza hiyo link unapata video
 
Safi sana sijui watakula wapi Hawa vijana wa chama cha kijani
watakula wap? yaani jux ni mtu wa kuwaza anapata wap msosi, hizo ni idea za maskini, wenzako wanawaza kupaa kimataifa wewe unawaza msosi
 
watakula wap? yaani jux ni mtu wa kuwaza anapata wap msosi, hizo ni idea za maskini, wenzako wanawaza kupaa kimataifa wewe unawaza msosi
Usipoteze muda na waporipori, mtu anaishi Chikunguya halafu anajifanya anajua maisha ya watu wanaozunguka dunia kufanya show zao
 
Jux music hauwezi na nyimbo nyingi alibebwa na vanessa mdee na penzi lao kizungumkuti sasa saiv kakwama kwa mnaijeria na kule wamedanganya ni msanii mkubwa Tanzania kumzidi chai jaba,itabidi ajikaze tu kisha aibukie kwenye biashara
 
Acha unafiki boss. Vijana wamefanya kazi nzuri na malipo Yao ni makubwa sana si chini ya ,200 M . Chuki ya Nini acha wajitafutie fedha Yao ya halali
Hakuna unacho jua ona Sasa una ropoka eti malipo yake ni milioni mia mbili umeamini wewe ni zuzu?

Hiyo show Haina promoter hiyo show kaanda jux hujui chochote keep quit, marvolous
 
Usipoteze muda na waporipori, mtu anaishi Chikunguya halafu anajifanya anajua maisha ya watu wanaozunguka dunia kufanya show zao
Huna ujualo tuuloze sisi tulioko kwenye industry kabla hata huja Anza kujanjaruka, enzi hizo Sina Imani kama hata redio TU ulikua unamiliki, hao wanakopa MAMILIONI sisi tunajia tupo nao we kajinyea kaa kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…