- Thread starter
- #21
Mbona if inakimbiza sanaAsee Davido kaisha kimuziki siyo ishu, yaan kila akitoa wimbo unagoma
Siku hizi nime bako kusikiliza dodo tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona if inakimbiza sanaAsee Davido kaisha kimuziki siyo ishu, yaan kila akitoa wimbo unagoma
Siku hizi nime bako kusikiliza dodo tu
If inafanya vizuri sana davido amerudi juu nyimbo ni kubwa sanaMbona if inakimbiza sana
Anapost picha za airport za show hataki kujionesha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Tour ya Marekani
Mbona if inakimbiza sana
Si uji hiyo aseeIf inafanya vizuri sana davido amerudi juu nyimbo ni kubwa sana
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Anapost picha za airport za show hataki kujionesha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unafaa kupuzwaaaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Show wenzenu wana lipia nyie muione bure!!
Haiezekani, atakuwa ana zuia kwa ishu za haki miliki labda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unafaa kupuzwaaaaa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Tulipigiwa kelele sana kuwa kingi anashow kubwa sana mjini Austin au hukuifatilia mkuuIpi iyo mkuu?
Hahaha tuliambiwa anafanya show kubwa na Bruno MarsTulipigiwa kelele sana kuwa kingi anashow kubwa sana mjini Austin au hukuifatilia mkuu
Hahaha tuliambiwa anafanya show kubwa na Bruno MarsTulipigiwa kelele sana kuwa kingi anashow kubwa sana mjini Austin au hukuifatilia mkuu
Ata mm nashangaa mrejesho zero au na huko mic kuzimwa kulihusikaHahaha tuliambiwa anafanya show kubwa na Bruno Mars
Nashangaa sioni mrejesho
Ngoja tuutafute ule uziAta mm nashangaa mrejesho zero au na huko mic kuzimwa kulihusika
Utafute mkuuNgoja tuutafute ule uzi
Utasikia wame edit picha