hamisi nondo
Senior Member
- Aug 21, 2011
- 192
- 172
Me naona angalau ile coolest kid in africa,,tena video ndio kaliIf inafanya vizuri sana davido amerudi juu nyimbo ni kubwa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me naona angalau ile coolest kid in africa,,tena video ndio kaliIf inafanya vizuri sana davido amerudi juu nyimbo ni kubwa sana
Anatamani na yeye ajaze ili atupie mapicha sema ndo ivyo tena maneno ya mkosaji[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Show wenzenu wana lipia nyie muione bure!!
Haiezekani, atakuwa ana zuia kwa ishu za haki miliki labda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Anatamani na yeye ajaze ili atupie mapicha sema ndo ivyo tena maneno ya mkosaji
Naona kupatana na wizkid kumempoteza [emoji12] [emoji12] [emoji12]Asee Davido kaisha kimuziki siyo ishu, yaan kila akitoa wimbo unagoma
Siku hizi nime bako kusikiliza dodo tu
Huo ndio ukweli mchungu, alikosea sana kumaliza "biff" na WizKidNaona kupatana na wizkid kumempoteza [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Huo ndio ukweli mchungu, alikosea sana kumaliza "biff" na WizKid
HahahaNaona kupatana na wizkid kumempoteza [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kiba naye asije kujidanganya kumaliza biff, atabuma vibaya sanaHahaha
So mnataka mseme huyu jamaa wa tanzania anaye goma kumaliza bfu yuko sahihi ee!?
Na 75% ya walioko huko Oman,wana asili ya Tanzania.Ukisikia wafanyakazi wananyanyaswa,hawanyanyaswi na watu wa mbali,ni wenye asili ya Tanzania(kule wanaitwa waswahili)wana wanyanyasa watanzania wenzao.Na ndio huyo wamejazana hapo kwenye show hiyo.Kule wamepewa Uhuru,ngoma zote za asili za Tanzania,wanapiga na kucheza na kuimba kikabila.Japo ni nchi ya kiislamu,lakini wapo wasio na dini kama hao unaowaona.Huko nasikia 40% Ya raia wetu ni wafanyakazi za ndani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mjini mipango lazima ujifunze kwa waliokutangulia [emoji124]Hahaha
So mnataka mseme huyu jamaa wa tanzania anaye goma kumaliza bfu yuko sahihi ee!?
Mjini akili cyo nguvu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mjini mipango lazima ujifunze kwa waliokutangulia [emoji124]
Sijui kwanini anajifananisha naye. Yani yule jamaa kwa mondi ni sawa n mchicha kwa mnazi [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila yule hajafika level za diamond, hata nilipo skia kina tour nikawa najua tu hamna kitu hapo
Huijui Siasa na Wanasiasa.Ila huyu jamaa si mzalendo kabisa, We love Mr Ney nowadays
Hebu achaneni na hiyo madaNa 75% ya walioko huko Oman,wana asili ya Tanzania.Ukisikia wafanyakazi wananyanyaswa,hawanyanyaswi na watu wa mbali,ni wenye asili ya Tanzania(kule wanaitwa waswahili)wana wanyanyasa watanzania wenzao.Na ndio huyo wamejazana hapo kwenye show hiyo.Kule wamepewa Uhuru,ngoma zote za asili za Tanzania,wanapiga na kucheza na kuimba kikabila.Japo ni nchi ya kiislamu,lakini wapo wasio na dini kama hao unaowaona.
Anapost picha za airport za show hataki kujionesha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]