Show ya Diamond nchini Oman

Umenena vema.
 
Ndio pale unaposikia mfanyakazi wa ndani,kanyanyaswa,au kafanyiwa lolote baya,ni watanzania wanawafanyia ubaya watanzania wenzao,sio wenyewe waarabu.Hao watanzania wanaoishi Oman,kule wanahesabika ni waswahili.
 
Hilo ni jambo ka kawaida duniani kote!! Hata hawa Wa-Naija unakuta wanapiga sana pesa kwenye muziki kwa sababu wa-Naija wamesambaa sana duniani kwahiyo kila wanakoenda kupiga show inakuwa nyomi... lakini sio nyomi la wazungu bali wa-Naija wenzao na wengine from West Afrika!

Haitatokea wasanii wa Tanzania kuwapiga gap wasanii wa Naija kwa sababu, wa-Tanzania hawajasambaa duniani na ndio maana akina Kiba wakienda US wanaishia kupiga show viukumbi kwa sababu hakuna Watanzania wa kutosha US! Hata ukichukua Watanzania wote plus Wakenya na Waganda bado hawafiki hata nusu ya wa-Naija walio USA!!
 
atafilisika tu
 
Inaonekana ilikuwa poa sana maana nimechek Instagram ilikuwa poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…