Show ya Diamond Platnumz yahairishwa

Yupo sahihi kama walikubaliana kumleta kwa 1st class.Ila mimi nadhani ni ishu ya kimasilahi zaidi kwasababu show yake ya Barking wiki mbili zilizopita haikuwa na watu wengi hivyo kulinganisha na ile ya nyuma yake hivyo inawezekana jamaa kaona show ya US inalipa zaidi.Cha msingi Dimond alitakiwa kuwaomba radhi mashabiki na kuwaambia kuwa ipo nje ya uwezo wake.
 
show zenyewe za kawaida sana kwanza anatumia CD
 
Jamaa kasahau tandale alikotoka????

Tatizo la Ngozi Nyeusi Mambo ya Tandale yanahusu nini ? Kila Mtu anapale alipotokea acha Kumnyanyapaa kwa kuwa ulisikia Historia yake , Muunge Mkono Kijana Mwenzio lini watakuwa kama kina Jay Zee?
 
Ndo uelewe sasa wewe anakuhusu nini kwwnye mambo ya kipato chake? Angekuwa hajatoka km ilivyo sasa hivi si hizo show angekuwa anazifanya tena hata mitaa ya tandale?!! Unajua ile kujifanya wewe daraja fulani ndi huwa mwanzo wa kuporomoka mtu,huo ndo ukweli
 
Tatizo la Ngozi Nyeusi Mambo ya Tandale yanahusu nini ? Kila Mtu anapale alipotokea acha Kumnyanyapaa kwa kuwa ulisikia Historia yake , Muunge Mkono Kijana Mwenzio lini watakuwa kama kina Jay Zee?

Kaa kimya
 
Kaka utachekwa mjini hapa NORTHAMPTON ni UK ambakp show ndio imehairishwa ya New York na New Jersey iko palepale...Soma Tangazo vizuri kabla aujakurupuka mkuu

Kukosea kupo ila si kila anayekosea kakurupuka. ASANTE kwa kuona kosa
 
kwanini asi upgrade then aende? ishu ya muhimu ni kutodiscourage mashabiki

Kila promota anajua masharti yote ya Naseeb, haingii akilini masharti yasipotimizwa basi yeye afyate mkia. Miaka mingi mnapiga kelele waje wanamuziki wenye kujitambua. Haya mungu kajibu maombi, Muungeni mkono Naseeb Abdul
 
Kukosea kupo ila si kila anayekosea kakurupuka. ASANTE kwa kuona kosa
hahahaha kweli ukweli unauma.Jinsi ulivyopost mimi nakubaliana na mdau aliyesema umekurupuka.ila poa wanadamu tunakosea.
 
Mondi walitaka wamweke bness class hahahahaha.
 
Diamond yuko sahihi, kila kitu kina wakati wake msidhani hawaoni kina mr nice. akishachuja anataka awe amekusanya pesa na heshima aliyostahili.
 

Mbona wewe hutumii simu mshindi kama unataka kuwa daraja la chini? Mbona huvai kizamani? Jiangalie wewe kabla hujamkosoa mwenzio
 
kukosea? uingereza na marekani wapi na wapi? halafu ndio mnapost kabisa kwenye viblog vyenu uchwara.

Mkuu Matola , tena bado ametumia neno "yahairishwa" ni nini maana yake mie sijapata kukutana na neno hilo


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…