Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Safi sana domo hivyo hivyoooooo
Tazama amekuwa Kiumbe kipya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana domo hivyo hivyoooooo
Ni haki yake kama ipo ndani ya mkataba bt the impact is ruining your reputation+extremely loss of fans!
Jamaa kasahau tandale alikotoka????
Acha Ubwege! Kwahiyo ukikumbuka kuwa ulitoka Tandale ndiyo ukubali kila kitu,hata kama unadhurumiwa?:A S 13:
diamond huyuhuyu aliekua ananuka ukurutu tandale leo hataki ndege duuuuh lahaaaula
Jamaa kasahau tandale alikotoka????
Jamaa kasahau tandale alikotoka????
Tatizo la Ngozi Nyeusi Mambo ya Tandale yanahusu nini ? Kila Mtu anapale alipotokea acha Kumnyanyapaa kwa kuwa ulisikia Historia yake , Muunge Mkono Kijana Mwenzio lini watakuwa kama kina Jay Zee?
kwanini asi upgrade then aende? ishu ya muhimu ni kutodiscourage mashabiki
hahahaha kweli ukweli unauma.Jinsi ulivyopost mimi nakubaliana na mdau aliyesema umekurupuka.ila poa wanadamu tunakosea.Kukosea kupo ila si kila anayekosea kakurupuka. ASANTE kwa kuona kosa
Kukosea kupo ila si kila anayekosea kakurupuka. ASANTE kwa kuona kosa
Ndo uelewe sasa wewe anakuhusu nini kwwnye mambo ya kipato chake? Angekuwa hajatoka km ilivyo sasa hivi si hizo show angekuwa anazifanya tena hata mitaa ya tandale?!! Unajua ile kujifanya wewe daraja fulani ndi huwa mwanzo wa kuporomoka mtu,huo ndo ukweli
Acha Ubwege! Kwahiyo ukikumbuka kuwa ulitoka Tandale ndiyo ukubali kila kitu,hata kama unadhurumiwa?:A S 13:
kukosea? uingereza na marekani wapi na wapi? halafu ndio mnapost kabisa kwenye viblog vyenu uchwara.