Universal-soldier
Member
- Dec 27, 2020
- 43
- 70
Hakika huyu kiumbe kashindikana. Hii ni zaidi ya ile ya kigoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata km ilikuwa bure kupata watu km hao na rais kuja kuzindua show sio masikhaara...Hiyo show ilikua bei gani?
Nyie endeleeni kumjadili mtoto wa tandale,Hongera Diamond msanii pekee tangia uhuru aliyefanikiwa kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania kimataifa.
Maendeleo hayana vyama nasema uongo ndugu zangu?
Hongera Diamond msanii pekee tangia uhuru aliyefanikiwa kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania kimataifa.
Maendeleo hayana vyama nasema uongo ndugu zangu?
Jamaa anajitiada Sana nguvu yake Ni kubwa kuliko hata hizo media zinazombaniaSafi sana Diamond na timu nzima ya uongozi wako
Mameneja wa wasanii wengne Tz fanyeni jitihada ktk uwekezaji kwa wasanii wenu ili watambulike kimataifa na tuwe na idadi kubwa ya wasanii wanaohit kimataifa sio kuridhika na vishow vya Kahama, Nachingwea nk
Jifunzeni kwa akina Sallam Sk, Tale na Fella namna walivyopambana kumbrand msanii wao kitaifa na kimataifa licha ya kupata upinzani mkubwa sana wa baadhi ya media house za bongo zikiongozwa na wafitinishaji Clouds media