Show ya Diamond Platnumz yajaza watu 100,000 Sudan

hapo mi naona ungempongeza Diamond mwenyewe hao mameneja sidhani kama wana impact kubwa sana kwake.
 
😁😁😁😁 hebu thibitisha mtu ukatoe laki 7 kama kiingilio? Huo uchumi wa wanasudani umefika huko?
 
😁😁😁😁 hebu thibitisha mtu ukatoe laki 7 kama kiingilio? Huo uchumi wa wanasudani umefika huko?
Kweli mzee baba hiyo Ni show ya pili ya kwanza kajaza ikiwa VVIP kiingilio kilikuwa Ni mil 2 na kajaza
 
😁😁😁😁 hebu thibitisha mtu ukatoe laki 7 kama kiingilio? Huo uchumi wa wanasudani umefika huko?
Sio laki 7 tu mkuu, viingilio vilikua ni dola 300 ambayo ni takribani laki 6 na nusu, na kuna ticket zilikuwepo za dola elf 1 ambayo ni kama milion 2.3.

Na watu walijaa kama kawa, nchi inaweza kuwa maskini lakini bado wenye pesa hawakosekani.

Diamond kalipwa dola laki 1 ambayo ni takribani milioni 230, Kwa ukumbi ule ulivyojaa promota kapiga pesa kilaini kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…