Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Fally ni noma.Inasikitisha sana, leo bado Kuna kama mwezi mMoja na masiku unaambiwa show ni sold out Ina maana ticket zimeisha, kwanini msibadili ukumbi kama ni mdogo?
Watu wanasubiri wanunue tiketi mwezi ujao karibu na shows lakini inasemekana zishaisha, litafakarini hilo.
Kila jambo na watu wake.....watu wenye jambo lao wamelipia kama ambavyo wewe unalipia majambo yanayokufurahisha......Siwezi kulipia hata kwa dawa.
KIsa kumuona msanii aaaaaaaaah siwezi
Uwezo wetu tunatofautiana shida nyie ni wabinafsi, kuliko nilipe sasa hiyo hela ya show si Bora niizungushe kwanzaFanya kilimo au biashara
watu wapeleke mbele wakisubili ulipwe mshahara wako wewe !
Wao wanajuaje kama watu watazitaka nyingiMjini watu wanatafuta pesa kwa akili sana, am sure kuna watu wamezinunua hizo tiketi in bulk wanasubiri watu waanze kua desperate wauziwe bei mara mbili yake, hii ipo sana hata kwenye kombe la dunia, jamaa walikua wananunua tiketi karibia zote afu watu wanaanza kuuziwa sasa kwa bei za kimtaa
Sawa ila mapema sana, huenda Kuna ufisadi umefanyikaKila jambo na watu wake.....watu wenye jambo lao wamelipia kama ambavyo wewe unalipia majambo yanayokufurahisha......
Hna hela kakaSiwezi kulipia hata kwa dawa.
KIsa kumuona msanii aaaaaaaaah siwezi
nafikili ujipate kwanza ndipo uaze kufukiria habari ya stareheUwezo wetu tunatofautiana shida nyie ni wabinafsi, kuliko nilipe sasa hiyo hela ya show si Bora niizungushe kwanza
Jibu zuri sanaKila jambo na watu wake.....watu wenye jambo lao wamelipia kama ambavyo wewe unalipia majambo yanayokufurahisha......
Kweli kabisa hela ya kumlipa msanii sinaHna hela kaka
Labda wametaka show iwe ya watu wachache wanaopenda utulivu na kufurahia mziki mzuri pasi na bugdhaSawa ila mapema sana, huenda Kuna ufisadi umefanyika