Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
- Thread starter
- #21
Nafikiri inshu za kununua tiketi nyingi ili uziuze kwa bei kubwa wenye tamasha walisha piga stop, labda kama bado, wamepuuziaMichezo ya hivi ipo sana
Unakuta mtu ananunua tickets hata 100 halafu anaziuza kwa mwendo wa kuruka
Faida anayopiga sio mchezo
Miaka kuanzia 1990 mpaka 2000 UK ulikuwa unaweza kununua mpaka 50 bila masharti ila baadae wamepiga marufuku Baada ya kugundulika watu wanaziuza kwa bei ya juu sana
Sold out? Mjiulize sana hapo